Apple yauza iPhone milioni 48 katika miezi mitatu
Kampuni ya Apple imeuza simu za iPhone milioni 48 katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita – yaani ni sawa na Tanzania nzima imenunua simu hizo. Mauzo hayo yamesababishwa pia na uzinduzi wa simu zake mpya 6S na 6S Plus mwezi uliopita. Mauzo hayo yameifanya kampuni hiyo kupata faida ya robo ya mwaka kuliko ilivyotarajiwa. Kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Nov
Album ya Adele yavunja rekodi Marekani, yauza nakala milioni 3.38 katika wiki ya kwanza
![adele-new-album](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/adele-new-album-300x194.jpg)
Album mpya ya Adele, 25 imevunja rekodi kwa kuuza nakala milioni 3.38 katika wiki yake ya kwanza nchini Marekani pekee, kwa mujibu wa taarifa za Nielsen Music.
Staa huyo wa Uingereza amevunja rekodi hiyo tangu Nielsen ianze kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991. 25 iliyotoka Novemba 20 imekuwa pia album ya kwanza kuuza nakala nyingi zaidi katika wiki ya kwanza.
Kwa Uingereza, 25 imevunja pia rekodi kwa kuuza nakala 800,000 katika wiki yake ya kwanza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
5 years ago
MacRumors03 Apr
iPhone 8 Screen Protector Updated With 'iPhone SE' Compatibility on Apple's Online Store
5 years ago
Business Insider17 Mar
Apple iPhone 9 to be released in 2 sizes replacing iPhone 8 and 8 Plus - Business Insider
5 years ago
Forbes18 Mar
2020 iPhone Shock: Apple Accident Leaks ‘All-New’ iPhone
5 years ago
Forbes29 Mar
Apple’s Amazing New Apple Watch & iPhone Feature Just Got Even Better
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
UN:Ebola kudhibitiwa kwa miezi mitatu
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Cazorla miezi mitatu nje ya uwanja
![maxresdefault](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/maxresdefault-300x200.jpg)
KIUNGO wa Arsenal, Santi Cazorla, atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na kusumbuliwa na goti.
Mchezaji huyo alipata maumivu ya goti katika mchezo dhidi ya Norwich, ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1.
Hata hivyo, Cazorla alionekana kuwa imara katika dakika zote 90 za mchezo huo, japokuwa alikuwa tayari ameumia goti, ila baada ya kumalizika kwa mchezo hali ilionekana kubadilika.
Klabu ya Arsenal imethibitisha kuwa mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja hadi Machi,...
9 years ago
Bongo507 Dec
25 ya Adele yauza nakala milioni 1.11 kwenye wiki ya pili
![Adele-2015-press-Alasdair-McLellan-XL-billboard-650-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Adele-2015-press-Alasdair-McLellan-XL-billboard-650-2-300x194.jpg)
Album mpya ya Adele, 25 imeuza nakala milioni 1.11 katika wiki ya pili iliyomalizika Dec. 3 nchini Marekani.
Katika wiki yake ya pili tayari album hiyo imeuza nakala milioni 4.49.
Awali 25 ilivunja rekodi kwa kuuza nakala milioni 3.38 katika wiki yake ya kwanza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Katiba ya Tanganyika inawezekana kwa miezi mitatu