Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zambia, Tanzania sasa kuondoa kero mipakani

Serikali za Tanzania na Zambia zimeahidi kuboresha utendaji kazi kwenye vituo vya forodha katika mipaka ya Tunduma na Nakonde ili kuwawezesha wananchi kufanya biashara kwa faida.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mukangara kuondoa kero ya maji

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Helios Towers kuondoa kero ya mawasiliano

ILI kuboresha mawasiliano ya simu na mitando ya intaneti ndani ya majengo marefu, Kampuni ya Helios Towers imezindua huduma ijulikanayo kama Miundombinu ya Mawasiliano Ndani ya Majengo (In Building Solution...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi

Muonekano wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Bunda mjini baada ya kuboreshwa  na Serikali ya Awamu ya Tano kwa gharama ya shilingi milioni 500 kwa kujengewa majengo mapya na vifaa tiba vya kisasa.Sehemu  ya  majengo ya  kituo cha Afya Bunda   mjini mkoani Mara  baada ya kuboreshwa na kuanza kutoa huduma za upasuaji kwa wananchi wa mji huo na maeneo ya jirani.(Picha  na  MAELEZO)

Jonas Kamaleki, Bunda 
Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili...

 

11 years ago

Michuzi

wilaya ya hai mkoani kilimanjaro yajipanga kuondoa kero za wananchi mahospitalini

Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Novatus Makunga ameeleza kuwa serikali wilayani humo imejipanga kuondoa kero zote zinazoawakabili wananchi wanapoenda kutibiwa katika hospitali ya serikali ya wilaya hiyo zikiwemo lugha chafu za watumishi wa hospitali hiyo Mhe.  Makunga ametoa kauli hiyo katika mikutano yake ya hadhara na wananchi wa mitaa ya Kingereka na Kibaoni katika kata ya Hai Mjini.  Awali wananchi wa mitaa hiyo walieleza kuwa kero kubwa wanayokumbana nazo katika hospitali hiyo ni pamoja na...

 

11 years ago

KwanzaJamii

KERO YA NDOA ZA UTOTONI ZAMBIA

Takriban wasichana milioni 14 million kote duniani wanalazimishwa kuolewa wakiwa wadogo Agnes, msichana wa miaka 17 aliozwa miezi mitatu iliyopita kwa mwanamme ambaye hakua anamfahamu hata kidogo. Anavyotusimulia Agnes, “Wazazi wangu walinikalisha na kuniarifu kuwa sikua jukumu lao tena. Walitaka nijitenge nao na kuanza maisha kivyangu.Mambo yalikwenda haraka kinyume na matarajio yangu wakati mwanamme huyo ambaye simfahamu alilipa mahari kwa wazazi wangu.” “Sikua na usemi wowote kwenye...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kero la ndoa za mapema Zambia

Agness aliozwa miezi mitatu iliyopita kwa mwanamume ambaye hakua anamfahamu hata kidogo.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKUTANA NA WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO NDOLA ZAMBIA

Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mhe Balozi Grace Mujuma tarehe 2 Julai hadi 6 Julai 2014 alifanya ziara ya kikazi ya siku nne jimbo la Copperbelt mji wa Ndola. Katika ziara hiyo, Mhe Balozi aliambatana na Afisa Ubalozi Richard M. Lupembe. Sambamba na ziara hiyo, tarehe 6 Julai 2014 Mhe Balozi alikutana na kufanya mkutano na Watanzania ambao ni wajasiriamali wadogo wadogo wanaoishi Mjini Ndola Zambia.
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...

 

10 years ago

BBCSwahili

Google sasa yakubali kuondoa picha za uchi

Waathiriwa wa picha za ngono katika mtandao wa Google wataruhusiwa kutuma ombi kwa kampuni hiyo la kuziondoa picha hizo.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI

JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.

Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.

Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani