Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wilaya ya hai mkoani kilimanjaro yajipanga kuondoa kero za wananchi mahospitalini

Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Novatus Makunga ameeleza kuwa serikali wilayani humo imejipanga kuondoa kero zote zinazoawakabili wananchi wanapoenda kutibiwa katika hospitali ya serikali ya wilaya hiyo zikiwemo lugha chafu za watumishi wa hospitali hiyo Mhe.  Makunga ametoa kauli hiyo katika mikutano yake ya hadhara na wananchi wa mitaa ya Kingereka na Kibaoni katika kata ya Hai Mjini.  Awali wananchi wa mitaa hiyo walieleza kuwa kero kubwa wanayokumbana nazo katika hospitali hiyo ni pamoja na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA HAI MKOANI KILIMANJARO

Wananchi wa Bomang'ombe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana alipowahutubia jioni ya leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo wilayani Hai,mkoa wa Kilimanjaro. katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akipita kwenye moja ya daraja maarufu sana wilayani Hai,Dara la MNEPO (la zamani) lililopo katika kitongoji cha Kiyungi kijiji cha Mijongweni,wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikagua ujenzi wa daraja jipya la MNEPO ambalo lipo katika...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi

Muonekano wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Bunda mjini baada ya kuboreshwa  na Serikali ya Awamu ya Tano kwa gharama ya shilingi milioni 500 kwa kujengewa majengo mapya na vifaa tiba vya kisasa.Sehemu  ya  majengo ya  kituo cha Afya Bunda   mjini mkoani Mara  baada ya kuboreshwa na kuanza kutoa huduma za upasuaji kwa wananchi wa mji huo na maeneo ya jirani.(Picha  na  MAELEZO)

Jonas Kamaleki, Bunda 
Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili...

 

11 years ago

Michuzi

NHC Kilimanjaro yatoa msaada wa bati kwa wahanga wa mvua ya Upepo wilaya za Mwanga na Hai.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipokea msaada wa bati toka kwa meneja wa shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro Shehe Kombo kama msaada kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa bati zilizotolewa na shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro, mkuu wa wilaya ya Hai,Noavatus Makunga . Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAWA WAASWA KUONDOA HOFU YA KUCHANGIA MAENDELEO YA WILAYA YA IRAMBA MKOANI SINGIDA

SERIKALI wilaya ya Iramba mkoani Singida, imetoa wito kwa wazawa wa ndani na nje wa wilaya hiyo, waondoe hofu kuchangia maendeleo ya wilaya yao kwa madai itahusishwa na vitendo vya rushwa na badala yake waongeze kasi zaidi kuchangia kwa hali na mali ili wilaya iendelee kupaa kimaendeleo.

Wito huo umetolewa juzi na mkuu wa wilaya hiyo, Emmanuel Luhahula, wakati akitoa shukrani na pongezi kwa wizara ya maji kutoa msaada wa vifaa vya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona. Msaada huo...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI

JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.

Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.

Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAKALAA ZIARANI WILAYA YA MWANGA,MKOANI KILIMANJARO

Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla ameendelea na ziara zake za kukagua maendeleo ya miradi mbali mbali ya maji,ambapo safari hii ilikuwa ni mkoani Kilimanjaro na alianzia wilaya ya Mwanga.
 Katika ziara hiyo amekutana na kuongea na uongozi wa wilaya ya Mwanga na baadae kuongozana nao katika ukaguzi wa miradi ya maji iliopo kwenye vijiji vya Kisanjini,Msangeni na Lomwe na pia alikagua maandalizi ya vifaa na eneo patakapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe utakaogharimu dola...

 

9 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mpira wa Machame, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani