Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. MAKALAA ZIARANI WILAYA YA MWANGA,MKOANI KILIMANJARO

Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla ameendelea na ziara zake za kukagua maendeleo ya miradi mbali mbali ya maji,ambapo safari hii ilikuwa ni mkoani Kilimanjaro na alianzia wilaya ya Mwanga.
 Katika ziara hiyo amekutana na kuongea na uongozi wa wilaya ya Mwanga na baadae kuongozana nao katika ukaguzi wa miradi ya maji iliopo kwenye vijiji vya Kisanjini,Msangeni na Lomwe na pia alikagua maandalizi ya vifaa na eneo patakapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe utakaogharimu dola...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NHC Kilimanjaro yatoa msaada wa bati kwa wahanga wa mvua ya Upepo wilaya za Mwanga na Hai.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipokea msaada wa bati toka kwa meneja wa shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro Shehe Kombo kama msaada kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa bati zilizotolewa na shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro, mkuu wa wilaya ya Hai,Noavatus Makunga . Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWANGA-KIKWENI-VUCHAMA/LOMWE KM 40.6 MKOANI KILIMANJARO

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ametangaza kutobomolewa nyumba zilizopo kando kando ya  barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-hadi Lomwe km 40.6 na kusema kuwa barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kwa kutumia upana wake uliopo hivi sasa.Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo ya faraja kwa wakazi wa Kikweni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kabla ya kuweka jiwe la msingi katika barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-Usangi hadi Lomwe(km 40) itakayojengwa kwa kiwango cha lami hivi...

 

11 years ago

Michuzi

wilaya ya hai mkoani kilimanjaro yajipanga kuondoa kero za wananchi mahospitalini

Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Novatus Makunga ameeleza kuwa serikali wilayani humo imejipanga kuondoa kero zote zinazoawakabili wananchi wanapoenda kutibiwa katika hospitali ya serikali ya wilaya hiyo zikiwemo lugha chafu za watumishi wa hospitali hiyo Mhe.  Makunga ametoa kauli hiyo katika mikutano yake ya hadhara na wananchi wa mitaa ya Kingereka na Kibaoni katika kata ya Hai Mjini.  Awali wananchi wa mitaa hiyo walieleza kuwa kero kubwa wanayokumbana nazo katika hospitali hiyo ni pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA HAI MKOANI KILIMANJARO

Wananchi wa Bomang'ombe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana alipowahutubia jioni ya leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo wilayani Hai,mkoa wa Kilimanjaro. katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akipita kwenye moja ya daraja maarufu sana wilayani Hai,Dara la MNEPO (la zamani) lililopo katika kitongoji cha Kiyungi kijiji cha Mijongweni,wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikagua ujenzi wa daraja jipya la MNEPO ambalo lipo katika...

 

9 years ago

Michuzi

MBIO ZA KILIMANJARO HEALTH RUN 2015 ZAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO.

Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi.  Washiriki wa Mbio za Km 5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka ituo mbalimbali mjin Moshi. Mshindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume, Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla ziarani Wilaya ya Longido

Naibu Waziri wa Maji,Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Longido mkoani Arusha ikiwa ni muendelezo wa ziara za kukagua miradi mbali mbali ya maji hapa nchini. 
Katika ziara yake hiyo,alikutana na viongozi wa wilaya hiyo ya Longido na kuiagiza kampuni ya Haward Humfrey iliyofanya usanifu mradi wa maji wa Kisima cha Tembo ichukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kutopewa kazi zozote za miradi ya maji nchini kwa kusanifu mradi wa maji wa thamani ya shilingi milioni 253, mradi ambao...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla alipokuwa ziarani mjini Moshi mkoa wa Kilimanjaro

Naibu waziri wa Maji Mhe.Amos makalla akizindua mradi wa maji karanga mjini MoshiNaibu waziri wa maji Amos makalla akiwahurubia wafanyakazi wa mamlaka maji Moshi Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikabidhi tuzo ya ubora wa utunzaji mazingira kwa mkurugenzi wa mamlaka maji moshi Injinia Cryspin Lumeleja Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Naibu wazir maji akiongea na wajumbe wa bodi ya mamlaka maji moshiNaibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikagua chanzo cha maji cha Mto Karanga...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ally Juma Mwanga aula Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

IMG_1157

Msimamizi wa uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Ikungi, Shukrani Mshigati, akitoa ufafanuzi juu ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu wake Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi uliofanyika hivi karibuni.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Gichuli Charles.

IMG_1176

Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi wakishiriki kumchangua Mwenyekiti na Makamu wa Mwenyekiti katika halmashauri hiyo.

IMG_1168

IMG_1232

Mwenyekiti mteule wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi, Ally...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani