Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Makalla ziarani Wilaya ya Longido

Naibu Waziri wa Maji,Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Longido mkoani Arusha ikiwa ni muendelezo wa ziara za kukagua miradi mbali mbali ya maji hapa nchini. 
Katika ziara yake hiyo,alikutana na viongozi wa wilaya hiyo ya Longido na kuiagiza kampuni ya Haward Humfrey iliyofanya usanifu mradi wa maji wa Kisima cha Tembo ichukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kutopewa kazi zozote za miradi ya maji nchini kwa kusanifu mradi wa maji wa thamani ya shilingi milioni 253, mradi ambao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla akanusha kuzindua mradi maji wilaya ya Longido

Nimesoma katika gazeti la Habari leo la tarehe 9 Januari,2015,toleo la 02942,Ukurasa wa 8 habari na mwandishi Prisca Libaga,Arusha ,habari yenye kichwa cha habari "Mradi wa Maji wadaiwa kutoa Tope".
Mwandishi amenukuu malalamiko ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Onesmo Nangoro akiongea kwenye kikao cha Kamati ya ushauri mkoa (RCC) kilichofanyika juzi kuwa mimi Amos Makalla,Naibu Waziri wa Maji nilidanganywa nikazindua mradi wa maji wilaya ya Longido uliogharimu shilingi milioni 300 na...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla ziarani kwenye Jimbo la Mvomero

Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akimkabidhi Kiongozi wa kikundi cha Faidika wa kijiji cha manza mchango wa shilingi laki tano.Mh. Makalla yupo Jimboni kwake Mvomero kwa ziara ya Kikazi.Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akiwasalimia vijana wa kijiji cha manza,Mvomero wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi kwenye Jimbo la Mvomero. Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akikabidhi mbuzi kumi kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla ziarani Wilayani Namtumbo, Mkoani Ruvuma

Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa wa Maji katika kijiji cha Mkongo Nakawale ambapo watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.
Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe mei 12 mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba kisima kingine baada ya kisima cha awali kuwa na Maji machache.
Amemwagiza Katibu Mkuu  wa Wizara ya Maji kuunda kikosi kazi cha watalaam...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla alipokuwa ziarani mjini Moshi mkoa wa Kilimanjaro

Naibu waziri wa Maji Mhe.Amos makalla akizindua mradi wa maji karanga mjini MoshiNaibu waziri wa maji Amos makalla akiwahurubia wafanyakazi wa mamlaka maji Moshi Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikabidhi tuzo ya ubora wa utunzaji mazingira kwa mkurugenzi wa mamlaka maji moshi Injinia Cryspin Lumeleja Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Naibu wazir maji akiongea na wajumbe wa bodi ya mamlaka maji moshiNaibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikagua chanzo cha maji cha Mto Karanga...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA ENDUIMET WILAYA YA LONGIDO YAPATA MTAMBO WA NGUVU ZA JUA

Paroko wa Kanisa Katoliki,Parokia ya Enduimet,Jimbo Kuu la Arusha,Padri Pius Shao(katikati)akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuzalisha Umeme kwa nguvu za Jua ,kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kusambaza Teknolojia(KAKUTE),Livinus Manyanga na Afisa Elimu Sekondari wilaya ya Longido,Gerson Mtera. Mkurugenzi wa Kampuni ya Kusambaza Teknolojia(KAKUTE),Livinus Manyanga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuzalisha Umeme kwa nguvu za Jua katika hospitali ya Kanisa...

 

10 years ago

Michuzi

maalim seif ziarani Wilaya ya Kaskazini B unguja

Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF ndani ya Jimbo Kitope Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.  Matawi na barza alizoweka mawe ya msingi ni pamoja na Kiombamvua, Mkaratini, Mgambo, Kilombero, Kipandoni na Kiwengwa Cairo. Hata hivyo, mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike katika viwanja vya Kipandoni umehairishwa, kwa madai kuwa haukupata kibali kutoka kwa jeshi la polisi.  Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda ziarani wilaya ya Chunya

PG4A4157

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mkwajuni wilayani Chunya akiwa wakati wa ziara yake mkoani Mbeya Februari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4238

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Makongorosi  Chunya waliofunga njia na akalazimika kuzungumza nao akiwa katika ziara ya mkoa wa  Mbeya Februari 28, 2015. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAKALAA ZIARANI WILAYA YA MWANGA,MKOANI KILIMANJARO

Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla ameendelea na ziara zake za kukagua maendeleo ya miradi mbali mbali ya maji,ambapo safari hii ilikuwa ni mkoani Kilimanjaro na alianzia wilaya ya Mwanga.
 Katika ziara hiyo amekutana na kuongea na uongozi wa wilaya ya Mwanga na baadae kuongozana nao katika ukaguzi wa miradi ya maji iliopo kwenye vijiji vya Kisanjini,Msangeni na Lomwe na pia alikagua maandalizi ya vifaa na eneo patakapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe utakaogharimu dola...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani