Mh. Makalla ziarani Wilayani Namtumbo, Mkoani Ruvuma
Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa wa Maji katika kijiji cha Mkongo Nakawale ambapo watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.
Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe mei 12 mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba kisima kingine baada ya kisima cha awali kuwa na Maji machache.
Amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kuunda kikosi kazi cha watalaam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA
10 years ago
MichuziMh. Makalla ziarani Wilaya ya Longido
Katika ziara yake hiyo,alikutana na viongozi wa wilaya hiyo ya Longido na kuiagiza kampuni ya Haward Humfrey iliyofanya usanifu mradi wa maji wa Kisima cha Tembo ichukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kutopewa kazi zozote za miradi ya maji nchini kwa kusanifu mradi wa maji wa thamani ya shilingi milioni 253, mradi ambao...
10 years ago
MichuziMh. Makalla ziarani kwenye Jimbo la Mvomero
10 years ago
MichuziMakalla alipokuwa ziarani mjini Moshi mkoa wa Kilimanjaro
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE ZIARANI NYASA, RUVUMA
10 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO
10 years ago
MichuziMAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ZIARANI MKOA WA RUVUMA
10 years ago
MichuziMashindano ya Makalla Cup yafika tamati wilayani Mvomero
Mgeni rasmi na mdhamini wa Mashindano hayo ya Makalla Cup alikuwa Mbunge wa Mvomero na...
11 years ago
Dewji Blog22 Jul
Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...