Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori akikagua meno ya tembo yaliyokamtwa na askari wa wanyamapori toka kwa majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori akikagua ngozi za wanyamapori zilizokamatwa na askari wa wanyamapori toka kwa majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU AWAPA SOMO ASKARI WANYAMAPORI

Waziri wa Maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu (kulia), akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya wanyamapori katika Chuo cha Wanyamapori Pasiansi jijini Mwanza

 

11 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi Mkoani Lindi lamsaka askari Mwenye tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya Meno ya Tembo

Jeshi la polisi mkoani Lindi linamtafuta askari wake mmoja mwenye namba F6508 Detective Constable JOSEPH YONA MASANJA mwenye Umri wa miaka 34 mzaliwa wa Wilaya ya ILEMELA Mkoani MWANZA Abae alikuwa akifanya kazi kituo cha polisi KILWA kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa vipande 62 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 568 yaliyokuwepo kituoni hapo kama Vielelezo.
Hayo yamebainishwa na Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi,Kamishna Msaidizi Renatha Mzinga alipokuwa Akitoa taarifa kwa waandishi...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AWANG'OA VIGOGO IDARA YA WANYAMAPORI


Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu leo ametangaza kuwang'oa viongogo wa ngazi ya juu katika Idara ya wanyamapori akieleza kuwa ni kutokana na kutoridhishwa na utendaji wao. 

Ifuatayo ni Taarifa rasmi ya tamko la Waziri Nyalndu,  kama alivyolisoma leo:
Leo, TAREHE 24 Februari, 2014 Natangaza kuubadili uongozi wa Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya maliasili na Utalii kama ifuatavyo: 
Ninamuondoa Profesa Alexander Songorwa katika nafasi ya Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA TAASISI ZA UHIFADHI WANYAMAPORI JIJINI NEW YORK

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya Vulcan ya nchini Marekani  Bw. Dave Stewart (kushoto) na Bi. Lauren Ryder, inayojihusisha na masuala ya kuidadi tembo katika nchi 18 barani Afrika ikiwemo Tanzania, baada ya kufanya mazungumzo maalum ya ushirikiano yaliyofanyika katika jiji la New York nchini Marekani jana. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu  akiagana na Bw....

 

10 years ago

Habarileo

Meno ya tembo sasa kuhifadhiwa Naibu Waziri Maji

Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema Tanzania haina mpango wa kuchoma au kuuza meno ya tembo inayoyahifadhi na kwamba kinachofanyika ni kuyahesabu na kujua idadi yake ili kuyalinda kwa manufaa ya Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UTALII NA MALIASILI MHE. LAZARO NYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA UHIFADHI WA WANYAMAPORI TANZANIA

   WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa      wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA),...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU ATEMBELEA CHUO CHA USIMAMIZI WANYAMAPORI PASIANSI-MWANZA

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiangalia moja ya kompyuta maalum zinazotumiwa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Taasisi ya Buffet Foundation kwa jili ya mafunzo ikiwemo vitabu, kompyuta, magari na darubini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akijaribu akikagua moja ya vitanda na hema linazotumiwa na wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza...

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani