NYALANDU AWAPA SOMO ASKARI WANYAMAPORI
Waziri wa Maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu (kulia), akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya wanyamapori katika Chuo cha Wanyamapori Pasiansi jijini Mwanza
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Joel Bendera awapa somo askari vijana
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka askari vijana nchini kutumia muda wao kubuni njia rahisi ya kukuza uchumi kupitia fursa zilizopo katika maeneo yao badala ya kufanya uovu....
10 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Bunduki yaua askari wanyamapori
ASKARI wa wanyamapori wa kituo cha Mtemera kilichopo Pori la Akiba la Selous, Hassan Nindi (59), amefariki dunia baada ya bunduki aina ya shotgun aliyokuwa nayo kumfyatukia. Taarifa kutoka kwa...
11 years ago
Uhuru NewspaperNYALANDU AKUTANA VIONGOZI WA UHIFADHI WANYAMAPORI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya Vulcan ya nchini Marekani Bw. Dave Stewart (kushoto) na Bi. Lauren Ryder, inayojihusisha na masuala ya kuidadi tembo katika nchi 18 barani Afrika ikiwemo Tanzania, baada ya kufanya mazungumzo maalum ya ushirikiano yaliyofanyika katika jiji la New York nchini Marekani jana.
10 years ago
Habarileo02 Jan
Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji
ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.
11 years ago
Michuzi24 Feb
WAZIRI NYALANDU AWANG'OA VIGOGO IDARA YA WANYAMAPORI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu leo ametangaza kuwang'oa viongogo wa ngazi ya juu katika Idara ya wanyamapori akieleza kuwa ni kutokana na kutoridhishwa na utendaji wao.
Ifuatayo ni Taarifa rasmi ya tamko la Waziri Nyalndu, kama alivyolisoma leo:
Leo, TAREHE 24 Februari, 2014 Natangaza kuubadili uongozi wa Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya maliasili na Utalii kama ifuatavyo:
Ninamuondoa Profesa Alexander Songorwa katika nafasi ya Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori ya...
11 years ago
Mwananchi02 May
Nyalandu amtimua Mkurugenzi Wanyamapori Kamati ya Bunge
10 years ago
Habarileo24 Nov
Tutalinda wanyamapori kwa gharama yoyote- Nyalandu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema Serikali iko tayari kulinda rasilimali za wanyamapori katika hifadhi zake za taifa kwa gharama yoyote ile na kwamba haina mchezo katika hilo.
10 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mhe. Nyalandu afungua mkutano wa uhifadhi wa wanyamapori Tanzania
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na mdau wa masuala ya utalii na uhifadhi nchini, Willy Chambulo, muda mfupi baada ya kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji...