Helios Towers kuondoa kero ya mawasiliano
ILI kuboresha mawasiliano ya simu na mitando ya intaneti ndani ya majengo marefu, Kampuni ya Helios Towers imezindua huduma ijulikanayo kama Miundombinu ya Mawasiliano Ndani ya Majengo (In Building Solution...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Sep
Mukangara kuondoa kero ya maji
MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Zambia, Tanzania sasa kuondoa kero mipakani
Serikali za Tanzania na Zambia zimeahidi kuboresha utendaji kazi kwenye vituo vya forodha katika mipaka ya Tunduma na Nakonde ili kuwawezesha wananchi kufanya biashara kwa faida.
5 years ago
MichuziHuduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi
Jonas Kamaleki, Bunda
Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gpqMlu8iZKI/U-nMayTtYOI/AAAAAAAF-1Y/GckrURjFkpQ/s72-c/unnamed+(5).jpg)
wilaya ya hai mkoani kilimanjaro yajipanga kuondoa kero za wananchi mahospitalini
Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Novatus Makunga ameeleza kuwa serikali wilayani humo imejipanga kuondoa kero zote zinazoawakabili wananchi wanapoenda kutibiwa katika hospitali ya serikali ya wilaya hiyo zikiwemo lugha chafu za watumishi wa hospitali hiyo Mhe. Makunga ametoa kauli hiyo katika mikutano yake ya hadhara na wananchi wa mitaa ya Kingereka na Kibaoni katika kata ya Hai Mjini. Awali wananchi wa mitaa hiyo walieleza kuwa kero kubwa wanayokumbana nazo katika hospitali hiyo ni pamoja na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wz3pzQLdiZg/XuJN6GkQ-2I/AAAAAAALtdk/Oy1Venwc_ewKM-zBNgDMA_Lh6wQ_9YyswCLcBGAsYHQ/s72-c/26da6cd5-1fd1-4c01-bd8b-17c480d3d3a5.jpg)
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E9_KtKpE10g/VICFgf43J3I/AAAAAAAG1TM/ncRy9tFDdI8/s72-c/unnamed.jpg)
KAMISHNA KOVA AWATAKA ASKARI WALIOMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO WA JESHI LA POLISI KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA WALIYOYAPATA KUONDOA KERO NA KUDUMISHA AMANI KATIKA MITAA YOTE YA JIJI LA DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-E9_KtKpE10g/VICFgf43J3I/AAAAAAAG1TM/ncRy9tFDdI8/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-KwGUABda70o/VICFgo2WBvI/AAAAAAAG1TQ/I6Y7Kk1iem8/s1600/unnamedc1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HseiQHfLehw/VICFgZEJD-I/AAAAAAAG1TU/0ft8cGz3xzU/s1600/unnamedc.jpg)
10 years ago
VijimamboTanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3Z*jNpV3ESL7WGaIS5R2fXbZY0T5PLETuB7NBbWzSAYxvplQeJlC7LpNAXbmxijPaMLc1NQpdvdicuuOj8lukW/147.jpg?width=550)
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea… ...
9 years ago
MichuziMapokezi ya Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania