Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Foleni za magari mipakani

Kwa wafanyabiashara wanaosafiri katika nchi mbalimbali barani Afrika, ni kawaida kuona misururu mirefu katika mipaka ya nchi, huku baadhi ya maeneo, foleni hizo husalia hata kwa wiki kadhaa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Foleni ya magari yadumu siku mbili Mombasa

Maafisa wa trafiki Kenya wametumwa eneo la Taru kwenye barabara kuu ya kutoka Mombasa kwenda Nairobi baada ya foleni ndefu iliyodumu siku mbili kukwamisha usafiri.

 

10 years ago

GPL

DAR ILIVYOKWAMISHWA NA FOLENI ZA MAGARI ASUBUHI, MCHANA

Magari yalivyoonekana kufunga njia kwenye kona ya barabara za Shekilango na Morogoro. Msururu wa magari uliokuwepo Barabara ya Shekilango. Hali ilivyokuwa eneo la Bamaga mchana wa leo. FOLENI ndefu zamagari  zilizokuwepo leo asubuhi na mchana jijini Dar es Salaam zimewafanya watu wengi kutembea kwa miguu. Maeneo…

 

10 years ago

GPL

WIZI WA MAFUTA KATIKA FOLENI ZA MAGARI DAR

Vijana wakichukua mafuta toka kwenye lori. …Wakimimina mafuta kwenye madumu.
Madumu ya  mafuta yakiwa tayari…

 

11 years ago

Michuzi

libeneke la foleni za magari kutoka angani jijini dar es salaam

 Huo msalaba uuonao hapo ni taa za magazri zilizo katika foleni mishale ya saa moja jioni kwenye makutano ya barabara za Morogoro road na Nelson Mandela jijini Dar es salaam. Hakika kuna haja ya kutafuta njia mbadala za kupunguza foleni ya magari katika jiji hili. Ushauri wa bure kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Madiwani wa Manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni. Boresheni njia za pembeni ili magari yaweze kupungua katika barabara hizi kuu. 
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii

 

10 years ago

Bongo5

Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)

Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ebola kudhibitiwa mipakani

MAOFISA wa idara mbalimbali za Serikali zikiwemo za Uhamiaji, Polisi na Usalama wa Taifa kwa nchi za Tanzania na Kenya wameweka mikakati ya pamoja katika mipaka ya Isebania na Sirari katika kudhibiti wageni ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa ebola.

 

9 years ago

Habarileo

Waishio mipakani waahidiwa neema

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameahidi kuimarisha biashara baina ya Kenya na Tanzania ili wananchi wa mipakani wanufaike na biashara hizo na kutatua kero zao, ikiwemo ukosefu mkubwa wa maji katika mji wa Tarakea, huku akiahidi kuondoa ushuru kwa biashara ndogo za mipakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Vifaa vya ebola kufungwa mipakani

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inatarajia kufunga vifaa vya kupimia joto (Thermal Scanner) katika mipaka ya nchi ili kudhibiti kuenea ugonjwa wa ebola ambao umeelezwa umeingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani