WIZI WA MAFUTA KATIKA FOLENI ZA MAGARI DAR
Vijana wakichukua mafuta toka kwenye lori. …Wakimimina mafuta kwenye madumu. Madumu ya mafuta yakiwa tayari…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDAR ILIVYOKWAMISHWA NA FOLENI ZA MAGARI ASUBUHI, MCHANA
Magari yalivyoonekana kufunga njia kwenye kona ya barabara za Shekilango na Morogoro. Msururu wa magari uliokuwepo Barabara ya Shekilango. Hali ilivyokuwa eneo la Bamaga mchana wa leo. FOLENI ndefu zamagari zilizokuwepo leo asubuhi na mchana jijini Dar es Salaam zimewafanya watu wengi kutembea kwa miguu. Maeneo…
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-A-gvXdjVSRE/U5TeC3xgKSI/AAAAAAAFpGE/0U9nf45v9_8/s72-c/f1.jpg)
libeneke la foleni za magari kutoka angani jijini dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-A-gvXdjVSRE/U5TeC3xgKSI/AAAAAAAFpGE/0U9nf45v9_8/s1600/f1.jpg)
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii
10 years ago
Bongo504 May
Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)
Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Foleni za magari mipakani
Kwa wafanyabiashara wanaosafiri katika nchi mbalimbali barani Afrika, ni kawaida kuona misururu mirefu katika mipaka ya nchi, huku baadhi ya maeneo, foleni hizo husalia hata kwa wiki kadhaa.
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Foleni ya magari yadumu siku mbili Mombasa
Maafisa wa trafiki Kenya wametumwa eneo la Taru kwenye barabara kuu ya kutoka Mombasa kwenda Nairobi baada ya foleni ndefu iliyodumu siku mbili kukwamisha usafiri.
11 years ago
Mwananchi28 May
Dereva aporwa lori la mafuta akiwa kwenye foleni mizani
Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBs5nyM3SBnDOoYWrevrMB3mOjoubYwy0-PCLzYjrt-5h3qUz1BEOoOTgovDeocv4e3N8raY3QUoCVWoudOmX4Of/1.jpg?width=650)
ANUSURIKA KUUAWA KATIKA WIZI WA PIKIPIKI MAGOMENI, DAR
Mtuhumiwa wa wizi akiwa amechakazwa kwa kipigo.  Moja ya matofali yaliyotumika kumshambulia mtuhumiwa. …
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Nigeria kudhibiti wizi wa Mafuta
Nigeria ina mpango wa kutumia ndege ndogo zisizokuwa na rubani kudhibiti wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya Meli.
10 years ago
Mwananchi20 Apr
Wizi wa magari ni balaa tupu
Dar es Salaam. Wezi wa vifaa vya magari jijini hapa wameunda mtandao mzito kama vile wana ‘serikali yao’ inayowalazimisha waathirika kuacha kutoa taarifa polisi badala yake kwenda kununua upya vifaa kwa wezi hao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10