Nigeria kudhibiti wizi wa Mafuta
Nigeria ina mpango wa kutumia ndege ndogo zisizokuwa na rubani kudhibiti wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya Meli.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Mbinu mpya ya kuzuia wizi wa mafuta-Nigeria
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Serikali kudhibiti wizi haki za wasanii
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imeweka mikakati ya kudhibiti haki za kazi za wasanii wa muziki na filamu za Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni juzi na waziri...
10 years ago
Habarileo29 Nov
BRN kudhibiti wizi wa dawa za serikali
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema baada ya kuingizwa katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) itadhibiti wizi wa dawa za serikali kwa kuweka alama ya GT (Government of Tanzania) katika dawa zote.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Siri ya wizi mafuta ya transfoma yabainika
9 years ago
Michuzi06 Sep
BI. SAMIA SULUHU AHIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_01201.jpg)
![Meya wa Ilala Jerry Slaa ambaye pia ni mgombea ubunge CCM Jimbo la Ukonga akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0279.jpg)
![Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0409.jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
NECTA yafanikiwa kudhibiti udanganyifu na wizi wa mitihani ya taifa nchini
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na Baraza hilo ikiwemo matumizi ya TEHAMA katika usajili wa watahimiwa na uchakataji wa matokeo ya Mitihani ya Taifa. Kulia ni Afisa Habari wa NECTA John Nchimbi.
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar s salaam...
9 years ago
Vijimambo06 Sep
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_01201.jpg)
![Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0388.jpg)
![Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0386.jpg)
10 years ago
StarTV08 Jan
Umaskini watumishi wa TEMESA wachangia wizi wa mafuta.
Na Rogers Wilium,
Mwanza.
Waziri wa Ujenzi Dokta John Magufuli amesema umaskini miongoni mwa watumishi wa wakala wa ufundi na umeme TEMESA unawafanya kuwa wezi wa mafuta ya feri na fedha za ushuru nchini.
Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri Magufuli kuzindua mfumo wa kielekriniki wa ukatishaji tikiti katika Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza mfumo ambapo umeongeza mapato kwa zaidi ya asilimia 40.
Moja ya vivuko vikongwe nchini Tanzania ni Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani...
10 years ago
GPLWIZI WA MAFUTA KATIKA FOLENI ZA MAGARI DAR