Umaskini watumishi wa TEMESA wachangia wizi wa mafuta.
Na Rogers Wilium,
Mwanza.
Waziri wa Ujenzi Dokta John Magufuli amesema umaskini miongoni mwa watumishi wa wakala wa ufundi na umeme TEMESA unawafanya kuwa wezi wa mafuta ya feri na fedha za ushuru nchini.
Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri Magufuli kuzindua mfumo wa kielekriniki wa ukatishaji tikiti katika Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza mfumo ambapo umeongeza mapato kwa zaidi ya asilimia 40.
Moja ya vivuko vikongwe nchini Tanzania ni Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU TEMESA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 780 zinazotokana na zabuni.
Vile vile, Waziri Mkuu ametoa muda wa miezi miwili kwa taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na TEMESA kiasi cha sh. bilioni 25.88 ziwe zimeshalipa na iwapo kuna taasisi itashindwa kulipa deni lake hadi Julai 30,...
9 years ago
StarTV06 Jan
Makamu wa Rais asema Uzembe wa baadhi ya watumishi wa afya wachangia Upotevu Wa Dawa
Baadhi ya Watumishi wa Sekta ya Afya yadaiwa kusababisha upotevu wa dawa zinazohitajika kuwafikia wananchi kwa asilimia 70 kutokana na kutokuwa na weledi katika kazi zao.
Kwa sasa ni asilimia 30 pekee za dawa ndio zinazowafikia wananchi na asilimia inayobaki inapotea.
Hayo yamebainika katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu baada ya kutembelea Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita ambapo changamoto ya dawa ni tatizo hali inayowalazimu wananchi...
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Nigeria kudhibiti wizi wa Mafuta
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Siri ya wizi mafuta ya transfoma yabainika
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Watumishi 12 mbaroni wizi wa kontena bandarini
Jonas Mushi na Ruth Mnkeni, Dar es salaam
JESHI la Polisi limewakamata watumishi 12 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwachunguza kuhusu wizi na utoroshaji wa makontena 329 katika bandari ya Dar es Salaam.
Saba kati yao wanatoka TRA ambao walisimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Wengine wanatoka taasisi nyingine za serikali ambazo polisi hawakutaka kuzitaja hadi wakamilishe uchunguzi dhidi yao.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Diwani Athumani alisema jana...
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Mbinu mpya ya kuzuia wizi wa mafuta-Nigeria
10 years ago
GPLWIZI WA MAFUTA KATIKA FOLENI ZA MAGARI DAR
10 years ago
Habarileo13 Jun
Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta
RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iKklTQRdFHs/XuOgj_-2gqI/AAAAAAALtng/6bvdMD_H6CU8da__CoHKCO153VNRnhmOwCLcBGAsYHQ/s72-c/index%25281%2529.jpg)
TAKUKURU KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUMISHI SABA TPA ,WAKILI WA KUJITEGEMA KWA TUHUMA ZA MAKOSA YA RUSHWA, UHUJUMU UCHUMI NA WIZI WA SH.BILIONI NANE
![](https://1.bp.blogspot.com/-iKklTQRdFHs/XuOgj_-2gqI/AAAAAAALtng/6bvdMD_H6CU8da__CoHKCO153VNRnhmOwCLcBGAsYHQ/s1600/index%25281%2529.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) pamoja na Wakili wa Kujitegemea kutoka Kampuni ya Mnengele &Associates na ELA Advocatee watafikishwa mahakamani wakati wowote kwa kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hayo yameelezwa leo Juni 12 mwaka 2020 na Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza Daud Ndyamukama kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo amefafanua watumishi hao tayari...