Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamu wa Rais asema Uzembe wa baadhi ya watumishi wa afya wachangia Upotevu Wa Dawa

 

Baadhi ya Watumishi wa Sekta ya Afya yadaiwa kusababisha upotevu wa dawa zinazohitajika kuwafikia wananchi kwa asilimia 70 kutokana na kutokuwa na weledi katika kazi zao.

Kwa sasa ni asilimia 30 pekee za dawa ndio zinazowafikia wananchi na asilimia inayobaki inapotea.

Hayo yamebainika katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu baada ya kutembelea Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita ambapo changamoto ya dawa ni tatizo hali inayowalazimu wananchi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Afya asema la hospitali kukosa dawa limekuzwa mno

Mgeni rasmi Waziri wa Afya, Dkt. Seif Rashid akizungumza wakati wa kuzindua kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo kauli mbiu ya kongamano hilo ni ''Tanzania na Huduma bora za matibabu inawezekana''.

Tatizo la ukosefu wa dawa katika hospitali kadhaa nchini, limekuzwa mno kuliko hali halisi na serikali itatoa taarifa rasmi kesho kuelezea tatizo hilo na hatua ambazo imechukua.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AWAFARIJI BAADHI YA MAJERUHI

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwafariji baadhi ya majeruhi wa ajali mbali mbali zilizotokea katika ziara za mikutano ya Kampezi mbali mbali za vyama vya Siasa hapa Nchini. Balozi Seif na Mkuu wa Kitengo cha kupokea Wagonjwa wa dharura katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Dr. Juma  Salum Mbwana wakibadilishana mawazo kwenye Wodi ya akina Mama ambao baadhi yao walipata ajali ya gari katika Mikutano ya Kampen za Uchaguzi.
MAJERUHI 10  wanaendelea kupatiwa huduma za matibabu katika...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAPATA ELIMU YA CORONA

 Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wazee na Watoto akitoa elimu juu ya ugonjwa wa Corona kwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais hii leo Mtumba Dodoma. Katika picha ni baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara Afya (hayupo pichani) wakati wa utoaji wa elimu juu ya ugonjwa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. AGANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE DAR

 Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Saz Salula, akizungumza kutoa shukurani wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ajili ya Mhe. Makamu wa Rais kuagana na Watumishi wa Ofisi yake. Hafla hiyo ilifanyika juzi Okt 20, 2015 kwenye Makazi ya Dkt. Bilal  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Ofisi yake, Saz Salula, wakati...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI NA WATUMISHI WAANDAMIZI WA OMR



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na Watumishi waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Baaraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)leo Juni 06,2020 katika ukumbi wa Mikutano wa Kambarage Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azan Zungu Nje ya ukumbi wa...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI NA WATUMISHI WAANDAMIZI WA OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza na Viongozi na Watumishi waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Baaraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo Juni 06,2020 katika ukumbi wa Mikutano wa Kambarage Jijini Dodoma.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia), akizungumza na Viongozi na Watumishi waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFANYA MAUNGUMZO NA BAADHI YA MABALOZI WANAOZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Jasem Najem wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Katarina Rangnitt wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo...

 

10 years ago

StarTV

Umaskini watumishi wa TEMESA wachangia wizi wa mafuta.

Na Rogers Wilium,

Mwanza.

 

 

 

Waziri wa Ujenzi Dokta John Magufuli amesema umaskini miongoni mwa watumishi wa wakala wa ufundi na umeme TEMESA unawafanya kuwa wezi wa mafuta ya feri na fedha za ushuru nchini.

 

Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri Magufuli kuzindua mfumo wa kielekriniki wa ukatishaji tikiti katika Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza mfumo ambapo umeongeza mapato kwa zaidi ya asilimia 40.

 

Moja ya vivuko vikongwe nchini Tanzania ni Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Membe akutana na Makamu wa Rais wa China mjini Beijing,Pia afanya mazungumzo na baadhi ya Mawaziri wa nchi hiyo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao alipokutana nae kwa mazungumzo kwenye Jumba la Mikutano la Kitaifa la China maarufu kama People's Great Hall mjini Beijing, China. Mhe. Membe yupo nchini humo kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 24 hadi 28 Februari, 2014. Mhe. Membe na Mhe. Yuanchao wakiendelea na mazungumzo. Mhe. Membe akiagana na Mhe. Yuanchao mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani