MAKAMU WA RAIS DKT. AGANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE DAR
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Saz Salula, akizungumza kutoa shukurani wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ajili ya Mhe. Makamu wa Rais kuagana na Watumishi wa Ofisi yake. Hafla hiyo ilifanyika juzi Okt 20, 2015 kwenye Makazi ya Dkt. Bilal Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Ofisi yake, Saz Salula, wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM BlogMAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AKABIDHIWA OFISI RASMI NA DKT. BILAL, AKARIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo. Picha zote na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha wageni wakati alipoingia Ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib...
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA OFISI YA IECO UKANDA WA AFRIKA JIJINI DAR
5 years ago
MichuziWATUMISHI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAPATA ELIMU YA CORONA
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara Afya (hayupo pichani) wakati wa utoaji wa elimu juu ya ugonjwa...
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Makamu wa Rais Dkt. Bilal alipohani msiba wa Baba yake Rostam Azizi Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rostam Azizi, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana Mei 31, 2014 kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki hii. (Picha na OMR).
heikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akitoa mawaidha wakati wa dua maalum iliyofanyika nyumbani kwa Rostam Azizi Oysterbay kumuombea Baba mzazi wa Rostam, aliyefariki katikati ya wiki...
10 years ago
MichuziMGOMBEA MWENZA, SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU, NCHINI CHINA, AKUTANA NA MWENYEJI WAKE MAKAMU WA RAIS WA CHINA
10 years ago
Dewji Blog22 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal amaliza ziara yake ya siku tatu, nchini China, akutana na mwenyeji wake makamu wa Rais wa China
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. ‘Peoples Great Hall’, jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo.Mei 20, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA
11 years ago
Dewji Blog23 Jun
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal amkaribisha Makamu wa Rais wa China na Ujumbe wake Ikulu Dar leo, wasaini mikataba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo juni 23, 2014 akiongozana na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. Li Yuanchao, yupo nchini kwa ziara ya siku sita. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li...