Watumishi 12 mbaroni wizi wa kontena bandarini
Jonas Mushi na Ruth Mnkeni, Dar es salaam
JESHI la Polisi limewakamata watumishi 12 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwachunguza kuhusu wizi na utoroshaji wa makontena 329 katika bandari ya Dar es Salaam.
Saba kati yao wanatoka TRA ambao walisimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Wengine wanatoka taasisi nyingine za serikali ambazo polisi hawakutaka kuzitaja hadi wakamilishe uchunguzi dhidi yao.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Diwani Athumani alisema jana...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mfumo wa Tancis wasaidia kuondoa urasimu, wizi bandarini
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfumo mpya wa forodha wa kielektroniki (Tancis) umesaidia kuondoa urasimu na wizi wa makontena Bandarini. Ofisa Mwandamizi wa TRA, Felix Tinkasimile, alisema hayo katika...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/M_g4z6mj1q4/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Watuhumiwa wizi wa mtandao mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu jijini Dar es Salaam limewakamata watu wawili wanaojihusisha na mtandao wa uhalifu kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano (IT). Watuhumiwa hao Edison Mbekya (27), mkazi wa...
10 years ago
StarTV08 Jan
Umaskini watumishi wa TEMESA wachangia wizi wa mafuta.
Na Rogers Wilium,
Mwanza.
Waziri wa Ujenzi Dokta John Magufuli amesema umaskini miongoni mwa watumishi wa wakala wa ufundi na umeme TEMESA unawafanya kuwa wezi wa mafuta ya feri na fedha za ushuru nchini.
Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri Magufuli kuzindua mfumo wa kielekriniki wa ukatishaji tikiti katika Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza mfumo ambapo umeongeza mapato kwa zaidi ya asilimia 40.
Moja ya vivuko vikongwe nchini Tanzania ni Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Mbaroni kwa wizi wa kutumia silaha
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu nane kwa tuhuma za unyang’anyi wa sh 978,600 kwa kutumia silaha katika Kijiji cha Jasini mpakani mwa Kenya na Tanzania. Akithibitisha kutokea...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Askari magereza mbaroni kwa wizi
JESHI la Polisi Zanzibar linamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo sawa na Magereza kwa Tanzania Bara kwa tuhuma za wizi wa sh 1,635,000 alizoiba kutoka katika duka moja lililopo eneo...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wakenya 4 mbaroni kwa wizi wa magari
POLISI Mkoa wa Kilimanjaro, inawashikilia wezi wanne wa magari akiwamo mwanamke mmoja wote raia wa Kenya, kwa tuhuma za wizi wa gari na kutaka kulificha nchini Tanzania.
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Vigogo Barclays mbaroni kwa wizi wa fedha
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Mwenyekiti wa kijiji Rorya mbaroni wizi wa ng’ombe
JESHI la Polisi Rorya linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Marasibora, Kata ya Kisumwa, Sproza Charles, kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe watatu wa ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...