Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfumo wa Tancis wasaidia kuondoa urasimu, wizi bandarini

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfumo mpya wa forodha wa kielektroniki (Tancis) umesaidia kuondoa urasimu na wizi wa makontena Bandarini. Ofisa Mwandamizi wa TRA, Felix Tinkasimile, alisema hayo katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Urasimu bandarini Mombasa kushughulikiwa

Watumiaji wa bandari ya Mombasa nchini Kenya huenda wakawa na afueni, kufuatia mkataba wa kupunguza urasimu utakaosainiwa leo

 

11 years ago

Tanzania Daima

TRA yawanoa wateja mfumo wa Tancis

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa, imeandaa mafunzo kwa wateja wake na taasisi mbalimbali juu ya mfumo mpya ya forodha uitwao ‘Tanzania Customs Integrated...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali imetakiwa kuondoa urasimu

Serikali imetakiwa kuingilia kati urasimu wa upatikanaji masoko kwa wafanyabiashara na wakulima wa mbogamboga na matunda, kufuatia kukithiri kwa vitendo vya rushwa vinavyofanywa na madalali.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Serikali kuondoa urasimu katika kodi za biashara

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imedhamiria kuondoa urasimu, rushwa na matatizo kwenye kodi katika biashara, ili kupunguza idadi ya watu laki nane wapya wanaotafuta ajira kila mwaka nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MFUMO MPYA WA UONDOSHJI MIZIGO(TANCIS)KUONGEZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfumo mpya wa undoshaji Mizigo (TANCIS) kuongeza uwazi na uwajibikaji

1

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

2

 

9 years ago

Mtanzania

Watumishi 12 mbaroni wizi wa kontena bandarini

DSC00351Jonas Mushi na Ruth Mnkeni, Dar es salaam

JESHI la Polisi   limewakamata watumishi 12 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwachunguza kuhusu   wizi na utoroshaji wa makontena 329 katika bandari ya Dar es Salaam.

Saba kati yao wanatoka TRA ambao walisimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Wengine wanatoka taasisi nyingine za serikali ambazo polisi hawakutaka kuzitaja   hadi wakamilishe uchunguzi dhidi yao.

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai,   Diwani Athumani alisema jana...

 

10 years ago

Habarileo

Mfumo himaya moja ya Forodha warahisisha utendaji bandarini

MFUMO wa Himaya moja ya Forodha kwa nchi za Afrika Mashariki umeongeza shehena ya mizigo kutoka nchi jirani inayopitishwa katika bandari ya Dar es Salaam, na kuwezesha muda wa kusafirisha bidhaa na kuzifikisha katika nchi husika kupungua kutoka siku saba hadi siku mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani