Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali imetakiwa kuondoa urasimu

Serikali imetakiwa kuingilia kati urasimu wa upatikanaji masoko kwa wafanyabiashara na wakulima wa mbogamboga na matunda, kufuatia kukithiri kwa vitendo vya rushwa vinavyofanywa na madalali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK: Serikali kuondoa urasimu katika kodi za biashara

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imedhamiria kuondoa urasimu, rushwa na matatizo kwenye kodi katika biashara, ili kupunguza idadi ya watu laki nane wapya wanaotafuta ajira kila mwaka nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa Tancis wasaidia kuondoa urasimu, wizi bandarini

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfumo mpya wa forodha wa kielektroniki (Tancis) umesaidia kuondoa urasimu na wizi wa makontena Bandarini. Ofisa Mwandamizi wa TRA, Felix Tinkasimile, alisema hayo katika...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM yaitaka serikali kuacha urasimu


SERIKALI imeshauriwa kupunguza urasimu wa ufanyaji biashara katika maeneo ya mipakani, ili wananchi wengi  watumie fursa hiyo katika kujiongezea kipato.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipokuwa akizungumza na wakazi wa Himo.
Alisema Tanzania ni nchi pekee ambayo mikoa yake zaidi ya 14 imekuwa ikipakana na nchi za jirani.
Kinana alisema  iwapo wananchi wa mikoa hiyo wakitumia fursa hiyo ya kupakana na nchi jirani kufanya biashara, kutawasaidia katika...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yatathmini kuondoa kodi NHC

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah KairukiSERIKALI imesema inaangalia uwezekano wa kupunguza Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyumba zinazojengwa na Shirika la Nyumba nchini (NHC) ili kupunguza bei za nyumba hizo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yajipanga kuondoa ajali za barabarani nchini

IMG_2079

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiongea na waandishi wa Habari(Hawapo pichani) mikakati ya kupunguza ajali za Barabarani ikiwemo kuongeza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kuendelea kununua vifaa vya kisasa vitakavyosaidia kupunguza tatizo la ajali nchini,wakati wa mkutano uliofanyika  jijini Dar es Salaam.

IMG_2065

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiwaonyesha waandishi wa Habari(Hawapo pichani)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daraja Letu laitaka serikali kuondoa vitabu

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la Daraja Letu, limeitaka serikali kuviondoa vitabu vyenye mkanganyiko ili  kuweka sawa mitaala na muhtasari inayozingatia mazingira ya sasa kielimu. Daraja Letu pia imeitaka serikali kuchukua...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kuondoa vitendo vinavyochochea Ukatili Wa Watoto

Wanaharakati wanaopinga ukatili wa Kijinsia na kutetea haki za Watoto nchini, wameitaka serikali kuondoa vitendo vinavyochochea ukatili kwa watoto  ili  wasiathirike katika maisha yao.

Aidha wameishauri Serikali kuangalia vitendo hivyo visije kuvunja na kuathiri malezi bora ya vizazi vijavyo kwakutengeneza  jamii yenye mmomonyoko wa maadili katika sekta za maendeleo.

Tanzania, Maadhimisho ya siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia yamelenga zaidi suala la usalama  shuleni kwa lengo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Bila kuondoa kasoro chaguzi Serikali za Mitaa, wapinzani ni wasindikizaji tu

Tukio kubwa linalotazamwa kwa umakini na wanasiasa wa Tanzania hivi sasa, ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani