CCM yaitaka serikali kuacha urasimu
SERIKALI imeshauriwa kupunguza urasimu wa ufanyaji biashara katika maeneo ya mipakani, ili wananchi wengi watumie fursa hiyo katika kujiongezea kipato.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipokuwa akizungumza na wakazi wa Himo.
Alisema Tanzania ni nchi pekee ambayo mikoa yake zaidi ya 14 imekuwa ikipakana na nchi za jirani.
Kinana alisema iwapo wananchi wa mikoa hiyo wakitumia fursa hiyo ya kupakana na nchi jirani kufanya biashara, kutawasaidia katika...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Simbakalia ataka Tanesco kuacha urasimu
MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali mstaafu Joseph Simbakalia, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha wananchi wanaokwenda kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme wanapatiwa huduma hiyo kwa wakati. Simbakalia alitoa...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Maofisa biashara Kusini watakiwa kuacha urasimu
5 years ago
CCM BlogTAASISI ZA KIFEDHA NCHINI ZATAKIWA KUACHA URASIMU KATIKA MIKOPO
Kauli hiyo imetolewa Machi mosi na Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Ali Idd wilayani, Kahama mkoani Shinyanga katika ziara yake ya kwanza baada ya kutembelea na kukagua eneo la ujenzi wa viwanda vitatu katika eneo la chapulwa vinavyojengwa na KOM GROUP...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Serikali imetakiwa kuondoa urasimu
10 years ago
Mwananchi13 Sep
JK: Serikali kuondoa urasimu katika kodi za biashara
10 years ago
Habarileo05 Apr
CWT yaitaka serikali ilipe madeni ya walimu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi ya kulipa madeni ya fedha za walimu ambayo yamewasilishwa serikalini ili kuepusha kutokea msuguano katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu.
9 years ago
StarTV23 Oct
Repoa yaitaka serikali mpya kuzingatia utawala bora
Taasisi ya Utafiti na Kupunguza Umaskini nchini (REPOA) imetoa ripoti ya mapendekezo ya kisera kwa serikali mpya itakayoingia madarakani baada ya uchaguzi kuzingatia utawala bora kwa kupambana na rushwa ndani ya sekta za umma na binafsi katika kudhibiti mali za umma.
Mapendekezo mengine ni pamoja na kutengeneza mfumo wa kodi ulio wa haki unaoboresha makusanyo ya mapato, ajira, miundombinu, utekelezaji wa sera na kuongeza nidhamu katika mfumo wa kutoa huduma za umma.
Kutokana na udhaifu wa...
10 years ago
Mwananchi19 Apr
Chadema yaitaka Serikali kuangalia Watanzania waliopo Afrika Kusini
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Freeman Mbowe: Marekani yaitaka Serikali ya Tanzania kuwakamata waliomshambulia