Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT yaitaka serikali ilipe madeni ya walimu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi ya kulipa madeni ya fedha za walimu ambayo yamewasilishwa serikalini ili kuepusha kutokea msuguano katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali ilipe madeni mifuko hifadhi ya jamii’

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Said Mtanda, ameitaka serikali kulipa madeni ya Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii, ili kusaidia mifuko hiyo kuweza kufanya shughuli za maendeleo...

 

11 years ago

Mwananchi

CWT yaiomba Serikali kuwalipa madeni yao

Chama cha Walimu (CWT) mkoani Mara kimesema kipo tayari kuanzisha mgogoro mkubwa na Serikali iwapo itafika mwishoni mwa mwezi Januari 2014 kama madeni mbalimbali wanayoyadai walimu kwa muda mrefu hayatalipwa. Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Mkoa wa Mara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT: Serikali itatue kero za walimu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Morogoro kimeitaka serikali kuepusha migogoro kati yake na walimu. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa CWT, Maswi Munada alipomkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa, Jorvis...

 

9 years ago

Mwananchi

CWT yaitega Serikali madai ya walimu

Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimeitaka Serikali kutekeleza madai ya ahadi za walimu kama walivyokubaliana na chama hicho.

 

9 years ago

Habarileo

‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeanza kulipa madeni ya walimu yanayofikia Sh162.1 milioni.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yataja mikakati ya kulipa madeni ya walimu

SERIKALI imeweka bayana mikakati yake ya kukabiliana na deni la walimu, ambao ni sehemu kubwa ya watumishi wake.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu

FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha Walimu (CWT), Mkoa wa Dar es Salaam kinaidai Serikali Tsh.Bilioni 1.1

Amina Kisenge   Na Dotto Mwaibale   WALIMU wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaidai Serikali jumla ya sh. Bilioni 1.1 za madai yao mbalimbali kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi 2015.   Hayo yalielezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mwalimu Amina Kisenge (pichani kushoto), katika kikao cha baraza la dharura la chama hicho lililoketi hivi karibuni.   Awali CWT ilikua ikidai jumla ya Sh.Bilioni 3.9 kabla ya kupunguza kiasi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani