Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Serikali yalipa walimu bil 1.9/-

Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam

CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha  kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.

Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh  1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.

Alisema pamoja na...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeanza kulipa madeni ya walimu yanayofikia Sh162.1 milioni.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yataja mikakati ya kulipa madeni ya walimu

SERIKALI imeweka bayana mikakati yake ya kukabiliana na deni la walimu, ambao ni sehemu kubwa ya watumishi wake.

 

10 years ago

Habarileo

CWT yaitaka serikali ilipe madeni ya walimu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi ya kulipa madeni ya fedha za walimu ambayo yamewasilishwa serikalini ili kuepusha kutokea msuguano katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu

FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.

 

11 years ago

Habarileo

Madeni ya walimu yageuzwa ‘dili’

Rais Jakaya Kikwete akihutubia jana katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani RAIS Jakaya Kikwete, amesema Serikali imebaini kuwepo kwa mchezo mchafu unaotumiwa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu, unaosababisha malimbikizo ya madeni ya wafanyakazi hususani walimu kutomalizika, kwa maslahi yao binafsi.

 

11 years ago

Habarileo

'Madeni ya walimu kulipwa kabla ya Julai'

SERIKALI imesisisitiza kuwa italipa madeni ya malimbikizo ya mishahara ya walimu kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa fedha, 2013/14. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa, alieleza hayo bungeni juzi jioni wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

11 years ago

Habarileo

Madeni ya walimu yalipwe kabla ya Juni 30 - Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameiagiza Wizara ya Fedha kuhakikisha madeni ya walimu yamelipwa hadi kufikia Juni 30 mwaka huu, ili Serikali isiingie na madeni katika Bajeti ijayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani