Serikali yalipa walimu bil 1.9/-
Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam
CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.
Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh 1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.
Alisema pamoja na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Sep
‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.
10 years ago
Habarileo06 Nov
Serikali yabakiza bil. 4/- tu deni la walimu
BUNGE limeelezwa kuwa deni la walimu linalodaiwa serikalini limeshuka hadi kufikia Sh bilioni 4 tu kutokana na mfumo mzuri wa ulipaji uliowekwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
11 years ago
Habarileo17 May
LAPF yalipa mafao ya bil.55.8/-
KIASI cha Sh bilioni 55.8 kimelipwa na Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa(LAPF) kwa wanachama wake 2,459.
10 years ago
Habarileo08 Apr
NHIF yalipa bil. 5/- za Tele kwa Tele
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeshalipa halmashauri mbalimbali zaidi ya Sh bilioni 5 kama mchango wa serikali katika mfumo wa tele kwa tele.
10 years ago
StarTV15 Apr
Serikali yalipa deni, wanafunzi warejea shule Kagera.
Na Mariam Emily,
Bukoba.
Serikali imelipa shilingi milioni mia moja sitini na tisa kati ya deni la zaidi ya shilingi milioni mia tisa wanazodai wazabuni wanaosambaza vyakula katika shule za sekondari za Serikali mkoani Kagera.
Hatua hiyo imerejesha wazabuni hao na kuanza tena kutoa huduma ya chakula mashuleni.
Kutokana na hatua hiyo wanafunzi katika shule mbalimbali za sekondari mkoani Kagera wameanza kurejea mashuleni.
Mmoja wa wazabuni Carlos Wilson amesema wazabuni wameonyesha...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Nyumba za walimu zatengewa bil. 27/-
SERIKALI imetenga sh. bilioni 27 kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu lengo likiwa ni kuboresha mazingira wanayoishi walimu. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alieleza...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Zatumwa bil 10/- kulipa walimu wapya
SERIKALI imetuma Sh bilioni 10 katika mikoa mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwalipa walimu wapya ambao wameripoti kazini mapema mwezi uliopita.
11 years ago
Habarileo14 Jun
Halmashauri 80 kuvuna bil. 40/- nyumba za walimu
SERIKALI inatarajiwa kutoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika halmashauri 80 nchini, sawa na Sh Sh milioni 500 kwa kila halmashauri. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya aliposoma Hotuba ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.
9 years ago
Habarileo17 Oct
Watumishi wasio walimu kulipwa bil 4/-
SERIKALI imesema inaendelea kushughulikia madai na madeni ya watumishi wake ambapo imetenga shilingi bilioni nne kwa ajili ya kulipa madai ya watumishi wa serikali za mitaa wasio walimu kuanzia mwezi huu.