Serikali yalipa deni, wanafunzi warejea shule Kagera.
Na Mariam Emily,
Bukoba.
Serikali imelipa shilingi milioni mia moja sitini na tisa kati ya deni la zaidi ya shilingi milioni mia tisa wanazodai wazabuni wanaosambaza vyakula katika shule za sekondari za Serikali mkoani Kagera.
Hatua hiyo imerejesha wazabuni hao na kuanza tena kutoa huduma ya chakula mashuleni.
Kutokana na hatua hiyo wanafunzi katika shule mbalimbali za sekondari mkoani Kagera wameanza kurejea mashuleni.
Mmoja wa wazabuni Carlos Wilson amesema wazabuni wameonyesha...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI DARASA LA SABA SHULE YA ADOLPH KOPING BUKOBA WATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Serikali kuwazawadia wanafunzi na shule za msingi na sekondari zinazofanya vizuri
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa.
Na Mwandishi Wetu
Katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya Elimu, Serikali itawazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema katika mitihani ya Elimu ya msingi na Sekondari.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam Jumatatu April 14, 2014 na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa alipozungumzia na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Wiki ya Elimu.
Kwa mujibu wa Dkt....
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Serikali yalipa walimu bil 1.9/-
Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam
CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.
Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh 1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.
Alisema pamoja na...
9 years ago
Habarileo02 Sep
‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s72-c/unnamed+(16).jpg)
WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013
![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s1600/unnamed+(16).jpg)
10 years ago
MichuziWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.
10 years ago
GPLBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28
10 years ago
Vijimambo08 Oct
FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B
![](https://3.bp.blogspot.com/-8ODlrrxpUIo/VDRJ42tYilI/AAAAAAAAOt4/NIP3B_E-UbQ/s1600/IMG_8488fnb.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-ScVFR97yrXU/VDRKJLbdYFI/AAAAAAAAOuA/s9-IdQPPTQU/s1600/IMG_8950fnb.jpg)