Watumishi wasio walimu kulipwa bil 4/-
SERIKALI imesema inaendelea kushughulikia madai na madeni ya watumishi wake ambapo imetenga shilingi bilioni nne kwa ajili ya kulipa madai ya watumishi wa serikali za mitaa wasio walimu kuanzia mwezi huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Oct
Walimu kuanza kulipwa bil.1.7/- wiki ijayo
SERIKALI imejipanga kumaliza madeni inayodaiwa na walimu kwa awamu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 1.7 zitaanza kulipwa kuanzia wiki ijayo na kutekeleza muundo mpya wa utumishi, ambao ni pamoja na kupandisha vyeo.
11 years ago
Habarileo12 Apr
Walimu shule za msingi Mwanza kulipwa bil.8.1/-
WALIMU 3,410 wa shule za msingi na sekondari mkoani hapa, wamepandishwa madaraja na watalipwa zaidi ya Sh bilioni 8.1.
9 years ago
Habarileo12 Sep
Waliopisha EPZA Bagamoyo kulipwa bil 40/-
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewahakikishia wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani kuwa, kitakapoingia madarakani lazima kilipe deni la Sh bilioni 40 kwa waliokubali kupisha Mradi Maalumu wa Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA).
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Uhamiaji kushughulikia watumishi wasio na maadili
IDARA ya Uhamiaji, imesema itaendelea kuhamisha na kufukuza watumishi wasio waaminifu ili kuijengea heshima idara hiyo. Ofisa Uhusiano wa Uhamiaji, Tatu Burhan, alisema hayo jana alipozungumza na Tanzania Daima katika...
9 years ago
Habarileo27 Sep
UVCCM yaonya watumishi wa umma wasio waadilifu
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewaonya watumishi wa umma wanaojiingiza kwenye siasa na kutumia nafasi zao kuwanyanyasa, kuwabughudhi na kuwadhalilisha wananchi wakati wakienda kutafuta huduma za kijamii na kiuchumi.
9 years ago
Habarileo11 Oct
Walimu kuanza kulipwa bilioni 1.7/-
SERIKALI imejipanga kumaliza madeni inayodaiwa na walimu kwa awamu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 1.7 zitaanza kulipwa kuanzia wiki ijayo na kutekeleza muundo mpya wa utumishi, ambao ni pamoja na kupandisha vyeo.
11 years ago
Habarileo21 May
'Madeni ya walimu kulipwa kabla ya Julai'
SERIKALI imesisisitiza kuwa italipa madeni ya malimbikizo ya mishahara ya walimu kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa fedha, 2013/14. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa, alieleza hayo bungeni juzi jioni wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Serikali: Mishahara ya watumishi umma kulipwa kupitia akaunti
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Serikali imeagiza watumishi wote wa umma walipwe mishahara moja kwa moja kupitia akaunti zao sahihi za benki ambazo zitatumika kupitishia mishahara yao.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisi za Hazina leo jijini Dar es salaam.
“Mishahara ya Watumishi wote wa Serikali, wakala na taasisi za umma italipwa moja kwa moja kupitia akaunti zao za banki” alisema...
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Mlata awaonya watumishi wa Serikali mkoani Singida wasio waaminifu kutumbuliwa majibu!
Mbunge wa viti maalum mkoani Singida, Martha Mosses Mlata, akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali wenye thamani ya zaidi ya shilingi 6.3 milioni kwa uongozi wa Chuo cha wasioona cha mjini hapa. Msaada huo ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru kutimiza miaka 54.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MBUNGE wa viti maalum (CCM) mkoani Singida, Martha Mosses Mlata, amewatahadharisha watumishi wa umma kuacha mara moja kujihusisha na vitendo vya ubadhirifu wa rasilimali ya...