Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhamiaji kushughulikia watumishi wasio na maadili

IDARA ya Uhamiaji, imesema itaendelea kuhamisha na kufukuza watumishi wasio waaminifu ili kuijengea heshima idara hiyo. Ofisa Uhusiano wa Uhamiaji, Tatu Burhan, alisema hayo jana alipozungumza na Tanzania Daima katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014.  Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...

 

11 years ago

Habarileo

Uhamiaji Kigoma wahofu kupatikana viongozi wasio raia

IDARA ya Uhamiaji mkoani Kigoma imeeleza wasiwasi wa nchi kuingia kwenye mtego wa kuchagua viongozi wasio raia kutokana na madai ya kuwepo viongozi wanaohifadhi wahamiaji haramu na kuwaajiri.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wasio na maadili hawatufai’

Wakati baadhi ya wanasiasa wameanza kutangaza nia za kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu mwakani, wananchi wametakiwa kutambua kuwa mtu asiye na maadili hafai kuwa kiongozi.

 

9 years ago

Habarileo

Watumishi wasio walimu kulipwa bil 4/-

SERIKALI imesema inaendelea kushughulikia madai na madeni ya watumishi wake ambapo imetenga shilingi bilioni nne kwa ajili ya kulipa madai ya watumishi wa serikali za mitaa wasio walimu kuanzia mwezi huu.

 

9 years ago

Habarileo

UVCCM yaonya watumishi wa umma wasio waadilifu

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewaonya watumishi wa umma wanaojiingiza kwenye siasa na kutumia nafasi zao kuwanyanyasa, kuwabughudhi na kuwadhalilisha wananchi wakati wakienda kutafuta huduma za kijamii na kiuchumi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mlata awaonya watumishi wa Serikali mkoani Singida wasio waaminifu kutumbuliwa majibu!

IMG_1142

Mbunge wa viti maalum mkoani Singida, Martha Mosses Mlata, akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali wenye thamani ya zaidi ya shilingi 6.3 milioni kwa uongozi wa Chuo cha wasioona cha mjini hapa. Msaada huo ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru kutimiza miaka 54.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MBUNGE  wa viti maalum (CCM) mkoani Singida, Martha Mosses Mlata, amewatahadharisha  watumishi wa umma kuacha mara moja kujihusisha na vitendo vya ubadhirifu wa rasilimali ya...

 

10 years ago

Habarileo

Nkinga: Watumishi wapya fuateni maadili

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba NkingaKATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga amewataka waajiriwa wapya wa wizara hiyo, kuwa wavumilivu na kufuata kanuni za maadili kwa kuwa wizara hiyo ni moja ya wizara zilizo karibu zaidi na wananchi.

 

9 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira watakiwa kuzingatia Maadili

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki akipata Maelezo ya juu wa upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya Mtandao kutoka kwa Naibu Katibu wa Kitengo cha TEHAMA Mhandisi Samweli Tanguye.

Na Kassim Nyaki.

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wameaswa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa kazi wanayoifanya ni nyeti na inagusa maisha ya watu ambayo itahitaji watu waadilifu, wapenda haki na mfano mwema kwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia miiko na maadili


NA KHADIJA MUSSA
MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Dk. Stephen Bwana, amewataka watumishi wa umma kujiepusha na ushabiki wa siasa za mpito, badala yake wazingatie katiba, miiko na maadili ya utumishi wa umma.
Alisema kuna upungufu katika uzingatiaji wa maadili, hivyo aliwataka watumishi hao kubadilika na kutojihusisha na ushabiki wa siasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani hakuna nchi duniani, ambayo watumishi wake hawazingatii maadili.
Pia aliahidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani