Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Viongozi wasio na maadili hawatufai’

Wakati baadhi ya wanasiasa wameanza kutangaza nia za kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu mwakani, wananchi wametakiwa kutambua kuwa mtu asiye na maadili hafai kuwa kiongozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uhamiaji kushughulikia watumishi wasio na maadili

IDARA ya Uhamiaji, imesema itaendelea kuhamisha na kufukuza watumishi wasio waaminifu ili kuijengea heshima idara hiyo. Ofisa Uhusiano wa Uhamiaji, Tatu Burhan, alisema hayo jana alipozungumza na Tanzania Daima katika...

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela ( wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Maadili walipofanya ziara yao katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma hivi karibuni kwa lengo la kujifunza. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Jaji (Mst) Ibrahim Mipawa akifuatiwa na Immaculate Ngwalle na kushoto kwa Kamishna, Peter Ilomo.Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wa Baraza...

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014.  Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Na  Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ikiwa ni siku ya nne tangu Baraza la Maadili lianze kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma dhidi ya Viongozi mbalimbali wa umma, Baraza hilo limeendelea kusikiliza ushahidi kutoka upande wa Walalamikaji dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo.  Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu,...

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi wasio waaminifu wameua ushirika'

MAKAMU wa Rais, Dk Gharib Bilal amesema ushirika unakosa mvuto kwa jamii kutokana na baadhi ya viongozi wanaochaguliwa kutokuwa waaminifu na hata kujihusisha na ubadhirifu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wasio na vyoo kutimuliwa India

Jimbo la Gujarati nchini India linataka iwe sheria kwa mtu yeyote anayetaka kuwania wadhfa wa uma kuwa na choo nyumbani mwake.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Maina: Tume iwabane viongozi wasio waadilifu

>Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Maadili ya Viongozi,  Jaji mstaafu William Maina, ameishauri tume hiyo kuomba ipewe nguvu zaidi ili iweze kuwachukulia hatua viongozi wanaokiuka maadili ya kazi zao.

 

11 years ago

Habarileo

Uhamiaji Kigoma wahofu kupatikana viongozi wasio raia

IDARA ya Uhamiaji mkoani Kigoma imeeleza wasiwasi wa nchi kuingia kwenye mtego wa kuchagua viongozi wasio raia kutokana na madai ya kuwepo viongozi wanaohifadhi wahamiaji haramu na kuwaajiri.

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM kuanza kuwatimua viongozi wavivu, wasio na kazi na wala rushwa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani