Halmashauri 80 kuvuna bil. 40/- nyumba za walimu
SERIKALI inatarajiwa kutoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika halmashauri 80 nchini, sawa na Sh Sh milioni 500 kwa kila halmashauri. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya aliposoma Hotuba ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Nyumba za walimu zatengewa bil. 27/-
SERIKALI imetenga sh. bilioni 27 kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu lengo likiwa ni kuboresha mazingira wanayoishi walimu. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alieleza...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Halmashauri 120 kunufaika ujenzi nyumba za walimu
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim Majaliwa, amesema katika mwaka wa fedha 2014/2015; halmashauri 120 zitanufaika na mpango wa ujenzi wa...
11 years ago
Habarileo18 May
Vinasaba vyasaidia serikali kuvuna bil 33.53/- mafuta
VITENDO vya uchakachuaji mafuta vimeweza kudhibitiwa na kuiwezesha serikali kupata mapato ya Sh bilioni 33.53 tangu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) ilipochukua hatua ya kudhibiti mwenendo wa sekta ndogo ya mafuta ya petroli.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-J1KuMNZ4gd8/U5dwf2_IUWI/AAAAAAAFpo0/wfMo_dYntrM/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Halmashauri yaomba bajeti ya bil. 35/-
BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora limeomba kuidhinishiwa kiasi cha sh 35,455,837,199 kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. Akisoma taarifa ya bajeti hiyo, Kaimu Ofisa...
11 years ago
Habarileo10 Jul
Rais azindua jengo la halmashauri la bil 2/-
RAIS Jakaya Kikwete jana amezindua Jengo la ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Kilindi lililogharimu zaidi ya Sh bilioni mbili hadi kukamilika kwake.
10 years ago
Dewji Blog04 May
Halmashauri ya Singida yakusanya mapato ya sh bil 11/-
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Elia Digha, akitoa taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Machi 30 mwaka huu mbele ya kikao cha kawaiada cha madiwani. Digha alisema kuwa halmashauri hiyo ilikusanya zaidi yashilingi bilioni 11.4 ikiwa ni sawa na asilimia 49 ya lengo la kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 22.1.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Iddi Mnyampanda, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Halmashauri Ushetu yapitisha bajeti bil. 32/-
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga limepitisha mapendekezo ya mpango wa bajeti ya sh bilioni 32.5 kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Akisoma mapendekezo...
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Serikali yalipa walimu bil 1.9/-
Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam
CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.
Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh 1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.
Alisema pamoja na...