Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri Ushetu yapitisha bajeti bil. 32/-

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga limepitisha mapendekezo ya mpango wa bajeti ya sh bilioni 32.5 kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Akisoma mapendekezo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bagamoyo yapitisha bajeti bil. 45/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagamoyo inatarajia kukusanya sh bilioni 45 katika mwaka wa fedha wa 2014/ 2015 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato. Taarifa hiyo iliwasilishwa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri yaomba bajeti ya bil. 35/-

BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora limeomba kuidhinishiwa kiasi cha sh 35,455,837,199 kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. Akisoma taarifa ya bajeti hiyo, Kaimu Ofisa...

 

11 years ago

Habarileo

Kamati yapitisha bajeti ya Ujenzi

KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka ujao wa fedha 2014/2015, ya Sh trilioni 1.2, fedha zilizoelekezwa katika matumizi ya kawaida na ya maendeleo katika wizara hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA BILIONI 50.1

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imepitisha Bajeti ya shilingi bilioni 50.1 kwa mwaka 2015/2016 ikiwa ni mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Manispaa hiyo.
Akiwasilisha taarifa ya bajeti hiyo mbele ya wajumbe wa mkutano wa maalum wa Baraza la Madiwani Dar es Salaam,Meya wa Manispaa wa Kinondoni, Yusuph Mwenda alisema kuwa mbali ya fedha hizo ambazo ni makusanyo ya ndani pia wanatarajia kupokea shilingi bilioni 128.6 ikiwa ni ruzuku...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI

Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii ilikutana na Watendaji wa Wizara ya Ujenzi kwa ajili ya kupitia maepndekezo ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.   Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awali kabla ya kuwasilisha mapendekezo hayo kwanza alianza kwa kutoa tarifa ya utekelezaji kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambapo Wizara ya Ujenzi ilitengewa Shilingi 381,205,760,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida. Hadi...

 

11 years ago

GPL

KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII YA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE YAPITISHA MPANGO WA TIBA KWA KADI‏

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia) akichangia mada wakati wa wa kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji huo (CHMT) pamoja na Madiwani wa Kata mbali mbali za Korogwe, Tanga kujadili mchakato wa kubadilisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha pili kimefanyika  Machi 26, 2014 katika ukumbi...

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA SHS.BILIONI 121 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALI MBALI

Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limepitisha bajeti ya sh.bilioni 121 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya halmashauri kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015.

Akitoa taarifa hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Yusuph Mwenda alisema fedha hizo zimetokana na makusanyo ya vyanzo vya mapato , pesa kutoka ruzuku serikali kuu,Tamisemi,pesa za makusanyo ya ndani ya Halmashauri .Kwa sasa Halmashauri ina uwezo wa kujiendesha ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani