Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA BILIONI 50.1

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imepitisha Bajeti ya shilingi bilioni 50.1 kwa mwaka 2015/2016 ikiwa ni mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Manispaa hiyo.
Akiwasilisha taarifa ya bajeti hiyo mbele ya wajumbe wa mkutano wa maalum wa Baraza la Madiwani Dar es Salaam,Meya wa Manispaa wa Kinondoni, Yusuph Mwenda alisema kuwa mbali ya fedha hizo ambazo ni makusanyo ya ndani pia wanatarajia kupokea shilingi bilioni 128.6 ikiwa ni ruzuku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA SHS.BILIONI 121 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALI MBALI

Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limepitisha bajeti ya sh.bilioni 121 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya halmashauri kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015.

Akitoa taarifa hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Yusuph Mwenda alisema fedha hizo zimetokana na makusanyo ya vyanzo vya mapato , pesa kutoka ruzuku serikali kuu,Tamisemi,pesa za makusanyo ya ndani ya Halmashauri .Kwa sasa Halmashauri ina uwezo wa kujiendesha ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bagamoyo yapitisha bajeti bil. 45/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagamoyo inatarajia kukusanya sh bilioni 45 katika mwaka wa fedha wa 2014/ 2015 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato. Taarifa hiyo iliwasilishwa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi...

 

11 years ago

Habarileo

Kamati yapitisha bajeti ya Ujenzi

KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka ujao wa fedha 2014/2015, ya Sh trilioni 1.2, fedha zilizoelekezwa katika matumizi ya kawaida na ya maendeleo katika wizara hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri Ushetu yapitisha bajeti bil. 32/-

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga limepitisha mapendekezo ya mpango wa bajeti ya sh bilioni 32.5 kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Akisoma mapendekezo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI

Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii ilikutana na Watendaji wa Wizara ya Ujenzi kwa ajili ya kupitia maepndekezo ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.   Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awali kabla ya kuwasilisha mapendekezo hayo kwanza alianza kwa kutoa tarifa ya utekelezaji kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambapo Wizara ya Ujenzi ilitengewa Shilingi 381,205,760,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida. Hadi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yaigomea Manispaa Kinondoni

MGOGORO wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, kugawa eneo la Barabara ya Keko, Mikocheni ‘A’, Mtaa wa Tindiga kwa Kampuni ya Trans Auto Express Ltd, umeingia katika sura mpya....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manispaa Kinondoni yainunua Tesema FC

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni,imekuwa manispaa ya kwanza kwa jiji la Dar es Salaam kumiliki timu ya Daraja la Kwanza, baada ya kuinunu timu ya soka ya Tesema. Hatua hiyo...

 

11 years ago

GPL

MANISPAA YA KINONDONI YAVUNJA VIBANDA-MWENGE

Askari wakiwa makini kuhakikisha amani inakuwepo. Baadhi ya maaskari wakisimamia usafishwaji wa barabara za mwenge. Huu ni muonekano wa sasa wa…

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA UBOMOAJI WA NYUMBA MANISPAA YA KINONDONI

Mkutano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Waandishi wa Habari kuhusu zoezi la ubomoaji wa nyumba Manispaa ya Kinondoni (kuanzia kushoto) Mhandisi wa Manispaa ya Kinondoni, Bw. Baraka Mkuya, Kamishna wa Ardhi Tanzania Dkt. Moses Kusiluka na Kamishna wa Ardhi Msaidizi kanda ya Dar es salaam Bw. Methew Nhonge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani