KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII YA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE YAPITISHA MPANGO WA TIBA KWA KADI

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia) akichangia mada wakati wa wa kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji huo (CHMT) pamoja na Madiwani wa Kata mbali mbali za Korogwe, Tanga kujadili mchakato wa kubadilisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha pili kimefanyika Machi 26, 2014 katika ukumbi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UZINDUZI WA MCHAKATO WA KUANZISHA TIKA (TIBA KWA KADI) KATIKA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE
11 years ago
Michuzi
UZINDUZI WA MCHAKATO WA KUANZISHA TIKA (TIBA KWA KADI) KATIKA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE

11 years ago
Michuzi
BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA KADI (TIKA)

11 years ago
GPL
WADAU WA AFYA SINGIDA WARIDHIA MPANGO WA TIBA KWA KADI
11 years ago
Michuzi
WANANCHI WA MJI KOROGWE WAUPOKEA KWA KISHINDO MPANGO WA TIKA, WACHANGIA MIL. 1.3
