Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri 120 kunufaika ujenzi nyumba za walimu

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim Majaliwa, amesema katika mwaka wa fedha 2014/2015; halmashauri 120 zitanufaika na mpango wa ujenzi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

11 years ago

Habarileo

Halmashauri 80 kuvuna bil. 40/- nyumba za walimu

SERIKALI inatarajiwa kutoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika halmashauri 80 nchini, sawa na Sh Sh milioni 500 kwa kila halmashauri. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya aliposoma Hotuba ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.

 

11 years ago

Michuzi

mbunge wa chalinze aweka jiwe la msingi la nyumba za walimu, akagua ujenzi wa zahanati Lugoba

 Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akielekea kuweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu iliyojengwa kutokana na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge wa Chalinze Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo ndugu Samuel Saliyanga wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba  Jengo jipya la Zahanati linaloendelea kujengwa katika kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba Jimbo la...

 

11 years ago

Michuzi

LUGUMI ENTERPRISES LTD YAKABIDHI PAMPU YA MAJI NA SHILINGI MILIONI 10 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU MAGU SEKONDARI MAGU.

Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD inayomiliki makampui ya Ran IT Solutions (EA) LTD na KZ Securty, Eligod Justine Sangawe (kushoto) ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wake Bw. Said Lugumi, kukabidhi msaada wa Pump ya maji inayotumia umeme na fedha taslimu shilingi milioni kumi kwa Afisa Elimu Takwimu (W) Sekondari bw. John M. Mangu  katika makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya shule ya Sekondari ya Magu. Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD...

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri 14 kunufaika mradi kupunguza umasikini

HALMASHAURI 14 za Mikoa ya Arusha na Njombe zinatarajiwa kunufaika na Mradi na Kupunguza Umasikini Mradi na Kupunguza Umasikini awamu ya tatu unaofadhiliwa na Mfuko wa Umoja wa Nchi zinazozalisha Mafuta Duniani (OPEC), unaotekelezwa chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

 

10 years ago

StarTV

Wananchi Kusini kunufaika na ujenzi wa Reli ya Mbamba Bay.

Na Adam Nindi,

Songea.

 

Wananchi wanaoishi Kusini mwa Tanzania jirani na Nchi za Msumbiji na Malawi wanatarajia kunufaika na Reli itakayojengwa kutoka Mbamba Bay wilayani Nyasa hadi mkoani Mtwara ambayo ujenzi wake utaanza mwezi Juni mwaka huu.

Katika ziara ya siku moja mkoani Ruvuma, Waziri wa Uchukuzi Dokta Harrison Mwakyembe amebainisha kuwa reli hiyo ya Mtwara Kolido itagharimu fedha za kimarekani dola Bilioni tatu mpaka kumalizika kwake.

 

Waziri Mwakyembe amesema ujenzi wa Reli hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

JK aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Tuguluvala Simbachawene na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, Waziri wa Ujenzi Dk John Pombe Magufuli na Mbunge wa Afrika Mashariki Adam Kimbisa.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia jiwe...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyumba za walimu zatengewa bil. 27/-

SERIKALI imetenga sh. bilioni 27 kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu lengo likiwa ni kuboresha mazingira wanayoishi walimu. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alieleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani