JK aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Tuguluvala Simbachawene na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, Waziri wa Ujenzi Dk John Pombe Magufuli na Mbunge wa Afrika Mashariki Adam Kimbisa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia jiwe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Aug
Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.
10 years ago
GPLKIKWETE AAGIZA HALMASHAURI ZINUNUE NYUMBA NHC
10 years ago
Michuzi29 Aug
Rais Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akifungua mradi wa nyumba nafuu katika eneo la Mnyakongo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya maeneo watumishi wa halmashauri kukaa mbali na sehemu zao za kazi kwa visingizio vya kukosa makazi.
Alisema sababu hiyo sasa haina msingi katika maeneo ambayo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-J1KuMNZ4gd8/U5dwf2_IUWI/AAAAAAAFpo0/wfMo_dYntrM/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Lukuvi aagiza halmashauri kutenga ardhi kwa NHC
10 years ago
Habarileo02 Sep
JK aagiza NHC wajenge nyumba za bei nafuu
RAIS Jakaya Kikwete ametaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuangalia uwezekano wa kujenga nyumba za gharama nafuu zaidi, ili kuwezesha hata wenye kipato cha chini kukopa na kuishi kwenye makazi bora.
10 years ago
Habarileo01 Apr
Lukuvi aagiza utafiti mauzo ya nyumba za NHC
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lifanye tathmini ya uuzaji wa nyumba zake kubaini sababu za watu wa kipato cha chini ‘kutozichangamkia’.
9 years ago
MichuziNHC YAZINDUA UUZAJI WA NYUMBA ZA BIASHARA NA MAKAZI ZA MOROCCO SQUARE,WAZIRI KIRUKI AIPONGEZA NHC KWA UFANISI
Waziri Kairuki aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua mauzo ya nyumba za biashara na makazi zilizojengwa eneo la Morocco Square, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Aliwapongeza Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na wenzake kwa kazi nzuri...
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Shirika la Nyumba NHC lazindua uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 Kawe
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu Kyando akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 uliopo Kawe jijini Dar es salaam, Nyumba hizi ziko kwenye majengo 7 yenye ghorofa 11 kila moja ambayo yanatarajiwa kuchukua watu 1000 kwa na huu ni utangulizi wa ujenzi wa mji mpya wa kisasa unaotarajiwa kujengwa eneo la Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam ambao ukikamilika utaweza kuchukua watu 15000.
Watu wanaohitaji kununua...