Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lukuvi aagiza halmashauri kutenga ardhi kwa NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri zote za wilaya kutenga ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili lijenge nyumba za bei nafuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AAGIZA WASAJILI WASAIDIZI WA HATI OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe kuzindua rasmi ofisi ya ardhi ya mkoa wa Singida jana. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo na wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Alhaji Juma Kilimba.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza wakati wa uzinduzi ofisi ya ardhi mkoa wa Singida jana....

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi aagiza utafiti mauzo ya nyumba za NHC

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lifanye tathmini ya uuzaji wa nyumba zake kubaini sababu za watu wa kipato cha chini ‘kutozichangamkia’.

 

10 years ago

Michuzi

JK aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Tuguluvala Simbachawene na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, Waziri wa Ujenzi Dk John Pombe Magufuli na Mbunge wa Afrika Mashariki Adam Kimbisa.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia jiwe...

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi aagiza upimaji ardhi kote nchini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri nchini kuharakisha upimaji wa ardhi na mashamba katika maeneo ya wananchi ambao ndio wamiliki wa asili wa maeneo hayo ili kuondoa migogoro ya ardhi inayosababisha wananchi kuichukia Serikali yao.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

Na Sifa Lubasi, Kongwa HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akifungua mradi wa nyumba nafuu katika eneo la Mnyakongo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya maeneo watumishi wa halmashauri kukaa mbali na sehemu zao za kazi kwa visingizio vya kukosa makazi.
Alisema sababu hiyo sasa haina msingi katika maeneo ambayo...

 

10 years ago

GPL

KIKWETE AAGIZA HALMASHAURI ZINUNUE NYUMBA NHC‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)…

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AAGIZA HATI ZA ARDHI KUTOLEWA NDANI YA WIKI MOJA

Waziri wa Ardhi Nyunba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiangalia bango linaloonesha uzinduzi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wakati wa hafla fupi ya kuzindua ofisi hiyo mkoa wa Tanga jana, Kulia kwa Waziri wa Ardhi ni Katibu Mkuu Mary Makondo na wa tatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Tanga martine Shigela.
Muonekano wa Ofisi mpya ya Ardhi mkoa wa Tanga ambayo imezinduliwa rasmi jana na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi.
Baadhi ya Wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZINAZOJENGWA NA NHC WILAYANI MASASI

New Picture (5)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani Masasi na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC Bw. Haikamen Mlekio.New Picture (4)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akiweka jiwe la msingi katika nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani Masasi ambazo ujenzi wake utakamilika mwezi Oktoba mwaka huu.New Picture (3)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani