Nyumba za walimu zatengewa bil. 27/-
SERIKALI imetenga sh. bilioni 27 kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu lengo likiwa ni kuboresha mazingira wanayoishi walimu. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alieleza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Jun
Halmashauri 80 kuvuna bil. 40/- nyumba za walimu
SERIKALI inatarajiwa kutoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika halmashauri 80 nchini, sawa na Sh Sh milioni 500 kwa kila halmashauri. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya aliposoma Hotuba ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Zana za uvuvi zatengewa bil 1.9/-
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imesema jumla ya sh bilioni 1.9 zimetengwa kwa ajili ya kununua boti za uvuvi na viambata vyake. Waziri wa wizara hiyo, David Mathayo,...
11 years ago
Habarileo23 May
Huduma za uzazi wa mpango zatengewa bil.3/-
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetenga kiasi cha Sh bilioni 3 katika bajeti ya fedha ya mwaka 2014/15 kwa ajili ya huduma za uzazi wa mpango.
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Serikali yalipa walimu bil 1.9/-
Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam
CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.
Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh 1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.
Alisema pamoja na...
9 years ago
Habarileo17 Oct
Watumishi wasio walimu kulipwa bil 4/-
SERIKALI imesema inaendelea kushughulikia madai na madeni ya watumishi wake ambapo imetenga shilingi bilioni nne kwa ajili ya kulipa madai ya watumishi wa serikali za mitaa wasio walimu kuanzia mwezi huu.
10 years ago
Habarileo05 Jun
Zatumwa bil 10/- kulipa walimu wapya
SERIKALI imetuma Sh bilioni 10 katika mikoa mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwalipa walimu wapya ambao wameripoti kazini mapema mwezi uliopita.
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Bil 10/- zatumika kulipia deni la walimu
WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, amesema serikali imelipa sh. Bilioni 10.9 ya malimbikizo ya madeni na mishahara ya walimu iliyo hakikiwa nchini nzima....
10 years ago
Habarileo06 Nov
Serikali yabakiza bil. 4/- tu deni la walimu
BUNGE limeelezwa kuwa deni la walimu linalodaiwa serikalini limeshuka hadi kufikia Sh bilioni 4 tu kutokana na mfumo mzuri wa ulipaji uliowekwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
11 years ago
Habarileo12 Apr
Walimu shule za msingi Mwanza kulipwa bil.8.1/-
WALIMU 3,410 wa shule za msingi na sekondari mkoani hapa, wamepandishwa madaraja na watalipwa zaidi ya Sh bilioni 8.1.