Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bil 10/- zatumika kulipia deni la walimu

WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, amesema serikali imelipa sh. Bilioni 10.9 ya malimbikizo ya madeni na mishahara ya walimu iliyo hakikiwa nchini nzima....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali yabakiza bil. 4/- tu deni la walimu

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu NchembaBUNGE limeelezwa kuwa deni la walimu linalodaiwa serikalini limeshuka hadi kufikia Sh bilioni 4 tu kutokana na mfumo mzuri wa ulipaji uliowekwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

 

11 years ago

Mwananchi

Atoa mke wake kulipia deni la Sh17,000

>Raia wa Kenya aliyefahamika kwa jina la Francis Kevogo, amelazimika kumtoa mkewe mwenye umri wa miaka 43 ili kufidia deni la Sh900 za Kenya (Sh17,100) analodaiwa na kijana wa miaka 22, Patrick Andambwa.

 

9 years ago

Michuzi

NAMNA YA KISHERIA YA KUZUIA MSHAHARA WA MFANYAKAZI KULIPIA DENI LAKO.

NA  BASHIR  YAKUB - Unapomdai  mtu  kupitia  mahakanma  na  hukumu  ikatolewa  kuwa  ni  kweli  unamdai  na  anastahili  kukulipa basi  mtu  huyo  hustahili  kulipa.  Lakini  mara  kadhaa  hutokea  mtu  kusema  sina  hela  ya  kulipa  au  vinginevyo  ilimradi  tu  asilipe  deni.
Lakini  pia  madai  hapa  si  lazima  iwe  hela  tu  inayotokana  na  kukopeshana.  Yapo  pia  madai  ambayo  hutokana  na  mtu  kushinda  kesi. Kwa  mfano   mwanamke  alifungua  kesi  dhidi ya mme  wake  akitaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Sh1.5 bil zatumika usajili Bongo

Wakati timu mbalimbali za Ligi Kuu nchini zikiendelea kukamilisha usajili kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao msimu ujao, uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa mpaka sasa zaidi ya Sh1.5 bilioni zimetumiwa kwa wachezaji wao.

 

10 years ago

Habarileo

Wataka wamiliki mgodi Mwadui kulipa deni bil.7/-

MGODI wa almasi wa Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga unaomilikiwa na Kampuni ya Diamond Williamson unadaiwa Sh bilioni 1.6 tangu mwaka 1995 hadi 2007 kama ushuru wa huduma, hali ambayo imeonesha baadhi ya madiwani kuwa na wasiwasi huku wakihoji ni lini fedha hizo zitalipwa.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YASEMA HAKUNA DENI HALALI LA WALIMU AMBALO HALIJALIPWA.

Na Magreth Kinabo- maelezoSERIKALI imesema kwamba imeshalipa madeni ya walimu  ya kiasi cha Sh. bilioni 5.7 ambayo yaligungulika kihalali kati ya Sh. bilioni 19.6 zilizokuwa zinadaiwa kudaiwa,hivyo  kwa  sasa hakuna  malalamiko mwalimu ambaye hajalipwa.
Aidha Serikali imependekeza kwamba   halimashauri  zilizowasilisha  madeni ambayo si  halali, yenye shaka, au watumishi wasio na madai, madai ya watumishi wasio na madai, madai ya watumishi waliokwishalipwa na waliowasilisha madai ya mishahara...

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yalipa walimu bil 1.9/-

Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam

CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha  kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.

Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh  1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.

Alisema pamoja na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyumba za walimu zatengewa bil. 27/-

SERIKALI imetenga sh. bilioni 27 kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu lengo likiwa ni kuboresha mazingira wanayoishi walimu. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alieleza...

 

11 years ago

Habarileo

Halmashauri 80 kuvuna bil. 40/- nyumba za walimu

SERIKALI inatarajiwa kutoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika halmashauri 80 nchini, sawa na Sh Sh milioni 500 kwa kila halmashauri. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya aliposoma Hotuba ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani