Wataka wamiliki mgodi Mwadui kulipa deni bil.7/-
MGODI wa almasi wa Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga unaomilikiwa na Kampuni ya Diamond Williamson unadaiwa Sh bilioni 1.6 tangu mwaka 1995 hadi 2007 kama ushuru wa huduma, hali ambayo imeonesha baadhi ya madiwani kuwa na wasiwasi huku wakihoji ni lini fedha hizo zitalipwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mbunge: Mgodi Bulyanhulu ushinikizwe kulipa deni
SERIKALI imetakiwa kufanya mazungumzo na mwekezaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, ili iweze kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...
9 years ago
MichuziWamiliki wa majengo wahimizwa kulipa kodi
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Serikali kulipa deni la watumishi wa umma
WATUMISHI wa Umma wanaidai serikali zaidi ya sh. bilioni nane, ikiwa ni malimbikizo ya madeni.
Hata hivyo, serikali imesema kiasi hicho ni kidogo ikilinganishwa na madai yaliyokuwepo awali, ambapo watumishi walikuwa wakiidai serikali fedha nyingi.
Hayo yameelezwa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani, ambapo alisema jitihada zinaendelea kufanywa ili kumaliza deni hilo.
Alikuwa akijibu swali la Masoud Abdalla Salim (Mtambile- CUF), ambaye...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Serikali iharakishe kulipa deni la MSD
MOJA ya taarifa iliyopo katika gazeti hili ni ile ya mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), kuutaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa, zikalipie deni la...
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ugiriki yashindwa kulipa deni la IMF
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Ugiriki kuchelewa kulipa deni IMF
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Muda wayoyoma kwa Ugiriki kulipa deni
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450
10 years ago
CloudsFM11 Feb
Yanga kulipa deni la Ngasa kwa masharti
HATIMAYE Klabu ya Yanga imekubali kulipa deni analodaiwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa na klabu ya Simba, kwa masharti iwapo tu atakubaliana nao katika baadhi ya mambo likiwamo la mkataba au jambo lingine lolote.
Aidha, Ngassa ameahidi kucheza kwa kiwango katika michuano ya ligi na ya kimataifa na kuwa mchezaji bora iwapo tu uongozi wa klabu hiyo utamsaidia kulipa deni hilo kama ulivyoahidi.
Katika msimu wa 2013/2014, Ngassa alijiunga na Yanga akitokea Simba alikokuwa akicheza kwa mkopo akiwa...