SERIKALI YASEMA HAKUNA DENI HALALI LA WALIMU AMBALO HALIJALIPWA.
Na Magreth Kinabo- maelezoSERIKALI imesema kwamba imeshalipa madeni ya walimu ya kiasi cha Sh. bilioni 5.7 ambayo yaligungulika kihalali kati ya Sh. bilioni 19.6 zilizokuwa zinadaiwa kudaiwa,hivyo kwa sasa hakuna malalamiko mwalimu ambaye hajalipwa.
Aidha Serikali imependekeza kwamba halimashauri zilizowasilisha madeni ambayo si halali, yenye shaka, au watumishi wasio na madai, madai ya watumishi wasio na madai, madai ya watumishi waliokwishalipwa na waliowasilisha madai ya mishahara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Serikali yasema hakuna mgonjwa wa ebola
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imekanusha kuwepo kwa ugonjwa wa ebola nchini, huku ikithibitisha kuwa mtu aliyedhaniwa kuwa na ugonjwa huo, anasumbuliwa na malaria.
Pia, wanafamilia wa karibu wa mgonjwa huyo wamechunguzwa na kuonekana hawana dalili za ugonjwa huo au magonjwa jamii ya ebola, kama dengue na chikungunya.
Kauli hiyo ya serikali imetolewa baada ya sampuli ya damu iliyochukuliwa kutoka kwa mgonjwa huyo na kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara, kuonyesha kuwa alikuwa akisumbuliwa na...
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Serikali yasema hakuna Ebola Tanzania
10 years ago
Habarileo06 Nov
Serikali yabakiza bil. 4/- tu deni la walimu
BUNGE limeelezwa kuwa deni la walimu linalodaiwa serikalini limeshuka hadi kufikia Sh bilioni 4 tu kutokana na mfumo mzuri wa ulipaji uliowekwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Deni la Ugiriki si halali, linapaswa lifutwe
TAREHE tisa mwezi huu ilikuwa siku iliyojaa masikitiko kwa wananchi wengi wa Ugiriki.
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Bil 10/- zatumika kulipia deni la walimu
WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, amesema serikali imelipa sh. Bilioni 10.9 ya malimbikizo ya madeni na mishahara ya walimu iliyo hakikiwa nchini nzima....
5 years ago
BBCSwahili14 May
Virusi vy corona: Tanzania yasema hakuna haja ya kuwa na wasiwasi
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Msigwa ataka serikali ichunguze kampuni kubwa halali za uwindaji
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Serikali yapunguza deni MSD
10 years ago
Dewji Blog25 Oct
Serikali yaweka taratibu za kuzingatia ili kuhakikisha kunakuwa na wamiliki halali wa laini za simu
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Mwanadamu ameumbwa na kuzaliwa akiwa na asili ya kuwa na uwezo na upeo unaomuwezesha kuwasiliana baina ya mtu na mtu kunzia ngazi ya familia, jamii inayomzunguka, taifa na hatimaye ulimwengu mzima.
Akiwa na mamlaka ya kutumia mawasiliano katika maisha yake ya kila siku, mwanadamu anayatumia mawasiliano hayo kama mchakato wa kuhamisha na kupashana taarifa ama habari kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa nyakati tofauti tofauti.
Mchakato huo wa mawasiliano unaweza...