Serikali yasema hakuna mgonjwa wa ebola
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imekanusha kuwepo kwa ugonjwa wa ebola nchini, huku ikithibitisha kuwa mtu aliyedhaniwa kuwa na ugonjwa huo, anasumbuliwa na malaria.
Pia, wanafamilia wa karibu wa mgonjwa huyo wamechunguzwa na kuonekana hawana dalili za ugonjwa huo au magonjwa jamii ya ebola, kama dengue na chikungunya.
Kauli hiyo ya serikali imetolewa baada ya sampuli ya damu iliyochukuliwa kutoka kwa mgonjwa huyo na kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara, kuonyesha kuwa alikuwa akisumbuliwa na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Serikali yasema hakuna Ebola Tanzania
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cNfN1CLnPuE/VeW44J9UPLI/AAAAAAAH1mY/pAFjEMfsgIg/s72-c/images.jpg)
SERIKALI YASEMA HAKUNA DENI HALALI LA WALIMU AMBALO HALIJALIPWA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-cNfN1CLnPuE/VeW44J9UPLI/AAAAAAAH1mY/pAFjEMfsgIg/s1600/images.jpg)
Aidha Serikali imependekeza kwamba halimashauri zilizowasilisha madeni ambayo si halali, yenye shaka, au watumishi wasio na madai, madai ya watumishi wasio na madai, madai ya watumishi waliokwishalipwa na waliowasilisha madai ya mishahara...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vgXDojhEURc/VE4ELaAFk7I/AAAAAAACtos/TlIcPwfYoGM/s72-c/New%2BPicture.png)
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KILIMANJARO
![](http://3.bp.blogspot.com/-vgXDojhEURc/VE4ELaAFk7I/AAAAAAACtos/TlIcPwfYoGM/s1600/New%2BPicture.png)
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KILIMANJARO Utangulizi
Mnamo tarehe 22 Oktoba 2014, Wizara ilipokea taarifa kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ya kuwepo kwa mgonjwa aliyehisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola. Mgonjwa huyu mwanaume ana umri wa miaka 37, na mkazi wa Dar es salaam (Kimara ) ambaye alikwenda Kilimanjaro tarehe 20 Oktoba 2014 katika...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-vgXDojhEURc/VE4ELaAFk7I/AAAAAAACtos/TlIcPwfYoGM/s72-c/New%2BPicture.png)
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KILIMANJARO
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-vgXDojhEURc/VE4ELaAFk7I/AAAAAAACtos/TlIcPwfYoGM/s1600/New%2BPicture.png)
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KILIMANJARO
Utangulizi
Mnamo tarehe 22 Oktoba 2014, Wizara ilipokea taarifa kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ya kuwepo kwa mgonjwa aliyehisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola. Mgonjwa huyu mwanaume ana umri wa miaka 37, na mkazi wa Dar es salaam (Kimara ) ambaye alikwenda Kilimanjaro tarehe 20 Oktoba 2014 katika...
10 years ago
Habarileo16 Aug
Serikali: Msihofu, hakuna ebola nchini
SERIKALI imewataka Watanzania kutokuwa na hofu ya ugonjwa wa ebola kwani wamejipanga ipasavyo na hakuna mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa huo. Imesisitiza hivyo baada ya kuwapo na taarifa zisizo rasmi kwamba ugonjwa huo umeshaingia nchini.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
‘Hakuna mgonjwa mpya wa dengue’
5 years ago
BBCSwahili14 May
Virusi vy corona: Tanzania yasema hakuna haja ya kuwa na wasiwasi
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mgonjwa Ebola abainika Hispania
10 years ago
Vijimambo09 Oct
MGONJWA WA EBOLA MAREKANI AFARIKI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/08/141008162619_mgonjwa_us_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio.
Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo.
Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine...