Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali: Msihofu, hakuna ebola nchini

SERIKALI imewataka Watanzania kutokuwa na hofu ya ugonjwa wa ebola kwani wamejipanga ipasavyo na hakuna mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa huo. Imesisitiza hivyo baada ya kuwapo na taarifa zisizo rasmi kwamba ugonjwa huo umeshaingia nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali yasema hakuna mgonjwa wa ebola


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imekanusha kuwepo kwa ugonjwa wa ebola nchini, huku ikithibitisha kuwa mtu aliyedhaniwa kuwa na ugonjwa huo, anasumbuliwa na malaria.
Pia, wanafamilia wa karibu wa mgonjwa huyo wamechunguzwa na kuonekana  hawana dalili za ugonjwa huo au magonjwa jamii ya ebola, kama dengue na chikungunya.
Kauli hiyo ya serikali imetolewa baada ya sampuli ya damu iliyochukuliwa kutoka kwa mgonjwa huyo na kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara, kuonyesha kuwa alikuwa akisumbuliwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Serikali yasema hakuna Ebola Tanzania

Tanzania imesema haina mgonjwa wa Ebola, baada ya kufanyiwa uchunguzi kwa wagonjwa wawili waliotiliwa shaka kuwa na ugonjwa huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yathibitisha hakuna Ebola

Tanzania imesema hakuna mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na Ebola, baada ya kufanyiwa uchunguzi wagonjwa wawili walio tiliwa shaka.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tanzania hakuna maabara kupima ebola’

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema Tanzania haina maabara yenye uwezo wa kuthibitisha vipimo vya ebola hivi sasa na kwamba inapotokea mtu kudhaniwa kuathiriwa na virusi vya ugonjwa huo, vipimo vyake ni lazima vithibitishwe nje ya nchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Msihofu

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaambia watumishi wa umma kuwa kura watakazopiga kwenye Uchaguzi Mkuu ni za siri na hivyo Serikali haitajua wamepigia chama gani.

 

11 years ago

GPL

Loga: Dawa ya Okwi ipo wala msihofu

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuhusu makali ya mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye ametua Yanga kwa kusema kuwa dawa yake ipo. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic ‘Loga’, amesema anatambua kuwa Okwi raia wa Uganda ni mmoja wa washambuliaji bora katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, lakini kamwe...

 

9 years ago

GPL

LUBUVA: WANANCHI MSIHOFU UCHAGUZI UTAKUWA WA AMANI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akiwa na makamishna wa tume hiyo wakati akisisitiza jambo kwenye mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Makamishna wa Tume hiyo wakiwa bize kwenye mkutano huo.…

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hakuna mazingira yanayoiwezesha Serikali kuhamia Dodoma’

Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) iliundwa kwa tamko la Serikali la mwaka 1973, lengo kubwa likiwa kupanga mji, kuishauri na kuisaidia Serikali kuhamia Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu: Hakuna muujiza kutatua kero Serikali mbili

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Martin Shao amesema hatarajii kuona miujiza katika kushughulikia kero za Muungano wa serikali mbili kwa kuwa suala hilo limeshindikana kwa miaka 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani