LUBUVA: WANANCHI MSIHOFU UCHAGUZI UTAKUWA WA AMANI
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akiwa na makamishna wa tume hiyo wakati akisisitiza jambo kwenye mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Makamishna wa Tume hiyo wakiwa bize kwenye mkutano huo.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Oct
Dk Shein: Uchaguzi utakuwa wa amani
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza serikali ina imani kuwa Zanzibar itakuwa katika utulivu na amani wakati wote wa uchaguzi kwa kuwa utafanyika kwa misingi ya uhuru na haki kwa mujibu wa sheria zilizopo.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-K1Gb-YZPUFk/ViKkMk8VSTI/AAAAAAAIAm0/ZsQT3LZQEOs/s72-c/12-Makondaa.jpg)
WANANCHI WAMETAKIWA KULINDA AMANI SIKU YA UCHAGUZI MKUU-MAKONDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-K1Gb-YZPUFk/ViKkMk8VSTI/AAAAAAAIAm0/ZsQT3LZQEOs/s320/12-Makondaa.jpg)
Makonda ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kinondoni pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa, wagombea wa ngazi...
5 years ago
MichuziSERIKALI YAWAHIKIKISHIA AMANI NA USALAMA WANANCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na vyombo vya habari Visiwani Zanzibar
9 years ago
StarTV18 Sep
Wananchi watakiwa kuepuka uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu
Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko juu ya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na baadhi ya watu kufanya vitendo vyenye mwelekeo wa uvunjifu wa amani.
Zaidi ya matukio 107 yameripotiwa katika vituo vya polisi na 38 tayari yamefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani yakiwa na jumla ya watuhumiwa 52.
Akitoa tamko hilo msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi SSP Advera Bulimba amesema katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea uchaguzi mkuu...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-3z8OvlyMehg/VTo7mt_HMZI/AAAAAAAA7bQ/-nWtcq4BfR4/s72-c/281.jpg)
BALOZI SEIF AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWA AMANI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU BAADAYE MWAKA HUU
![](http://2.bp.blogspot.com/-3z8OvlyMehg/VTo7mt_HMZI/AAAAAAAA7bQ/-nWtcq4BfR4/s1600/281.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z1-DhriPDgU/VTo7oH3qcWI/AAAAAAAA7bY/z3XYHtBDIfA/s1600/297.jpg)
...
10 years ago
Habarileo27 Jun
Balozi Iddi: Uchaguzi utakuwa huru, haki
MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amewahakikishia wananchi kwamba uchaguzi mkuu utafanyika katika mazingira ya amani na utulivu na kuwataka wazazi kuwadhibiti vijana wao kutojiingiza katika vurugu.
9 years ago
StarTV21 Sep
Serikali yasema uchaguzi utakuwa huru na haki
Serikali imesema itahakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unakuwa huru na wa haki ili kuwawezesha Watanzania kuitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wanaowataka.
Makamu wa Rais Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Serikali haitakubali kuona uchaguzi wa mwaka huu unakuwa chanzo cha kuvurugika kwa amani ya nchi hivyo itahakikisha unafanyika kwa amani na utulivu kote nchini.
Makamu wa Rais, Dokta Mohammed Gharib Bilal, amewatoa hofu watanzania katika ibada ya kumweka...
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kinana: Uchaguzi mwaka huu utakuwa wagombea na makapi
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, utakuwa kati ya wagombea na makapi ya CCM na wananchi watachagua wagombea wa chama hicho tawala.
9 years ago
Dewji Blog24 Oct
Mkurugenzi wa Apex Group aomba wananchi kudumisha Amani na Utulivu katika Uchaguzi Mkuu utakao fanyika kesho nchini kote
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati, Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex...