Balozi Iddi: Uchaguzi utakuwa huru, haki
MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amewahakikishia wananchi kwamba uchaguzi mkuu utafanyika katika mazingira ya amani na utulivu na kuwataka wazazi kuwadhibiti vijana wao kutojiingiza katika vurugu.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI, UMOJA WA ULAYA, ASEMA NCHI IPO SALAMA, UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA HAKI
Akizungumza na mabalozi hao waliofika kwa wakati tofauti ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo, Simbachawene amesema vyombo vyake vinaendelea kufanya kazi kwa weledi katika kuimarisha usalama wa raia na mali...
5 years ago
Michuzi28 Feb
Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu
![](https://media.parstoday.com/image/4bv515a29aa0bd1kfba_800C450.jpg)
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.
Kabudi ameyasema hayo kwenye hafla ya kukaribisha mwaka mpya ambapo amekariri ahadi ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo aliyoitoa akizihakikishia jumuiya za kimataifa kuhusiana na suala hilo. Akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa jijini Dar es Salaam Kabudi amesema: “Mwaka huu...
9 years ago
StarTV21 Sep
Serikali yasema uchaguzi utakuwa huru na haki
Serikali imesema itahakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unakuwa huru na wa haki ili kuwawezesha Watanzania kuitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wanaowataka.
Makamu wa Rais Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Serikali haitakubali kuona uchaguzi wa mwaka huu unakuwa chanzo cha kuvurugika kwa amani ya nchi hivyo itahakikisha unafanyika kwa amani na utulivu kote nchini.
Makamu wa Rais, Dokta Mohammed Gharib Bilal, amewatoa hofu watanzania katika ibada ya kumweka...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Sep
UCHAGUZI UTAKUWA HURU LAKINI SIO WA HAKI WALA HALALI.
Hakuna tena miujiza wala geni katika kufahamu hali halisi ya uchaguzi Zanzibar ikiwa mfuatiaji wa chaguzi zetu zote zilizo pita anaweka kumbukumbu zake vizuri, kuanzia sura,vitendo na kauli za viongozi wetu wote kuanzia wale wa Tume […]
The post UCHAGUZI UTAKUWA HURU LAKINI SIO WA HAKI WALA HALALI. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hLtWxdmTH1A/VivblAeJgZI/AAAAAAAIClQ/-ZEf_pNVQNM/s72-c/New%2BPicture.png)
UCHAGUZI UNAOTARAJIWA KUFANYIKA KESHO UTAKUWA HURU, HAKI NA WENYE UTULIVU: DK.SHEIN
![](http://2.bp.blogspot.com/-hLtWxdmTH1A/VivblAeJgZI/AAAAAAAIClQ/-ZEf_pNVQNM/s1600/New%2BPicture.png)
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASEZanzibar 24.10.2015RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kesho utakuwa huru, haki na wenye utulivu na kuwahakikishia washirika wa maendeleo likiwemo Shirika la Misaada la Uingereza (DFID) kuwa Zanzibar itaendea kuwa na amani kwani ndio msingi wa maendeleo.
Dk. Shein aliyasema hayo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-S9YRJiCRXVY/XuiWT1yOYBI/AAAAAAALt_g/8NN6LYpV6k8C7mz3ooiYPxxQob3IwfRCgCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot_20190624-082145.jpg)
DKT.MAGUFULI:UCHAGUZI MKUU UTAKUWA HURU NA HAKI KWA VYAMA VYOTE, WANAOPANGA KULETA VURUGU SERIKALI IKO MACHO
![](https://1.bp.blogspot.com/-S9YRJiCRXVY/XuiWT1yOYBI/AAAAAAALt_g/8NN6LYpV6k8C7mz3ooiYPxxQob3IwfRCgCLcBGAsYHQ/s640/Screenshot_20190624-082145.jpg)
Akizungumza leo Juni 16,2020 jijini Dodoma wakati akifunga Bunge la 11, Rais Magufuli amesema kuwa uchaguzi huo utakua wa huru na haki kwa kuwa ndio Demokrasia huku akivitaka vyama kutoa nafasi za kugombea kwa wanawake,...
10 years ago
Habarileo23 Jun
‘Uchaguzi Mkuu kuwa huru, haki’
SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba utakuwa huru na wa haki, kwa sababu imejipanga kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu za kupiga kura zinawekwa wazi na kufuatwa na kila mtu.
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/aWjeoSgefw8/default.jpg)
9 years ago
Habarileo25 Oct
Shein aahidi uchaguzi huru na wa haki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa uchaguzi unaofanyika leo utakuwa huru, haki na wenye utulivu na kuwahakikishia washirika wa maendeleo, likiwemo Shirika la Misaada la Uingereza (DFID) kuwa Zanzibar itaendelea kuwa na amani kwani ndio msingi wa maendeleo.