‘Uchaguzi Mkuu kuwa huru, haki’
SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba utakuwa huru na wa haki, kwa sababu imejipanga kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu za kupiga kura zinawekwa wazi na kufuatwa na kila mtu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziVYOMBO HABARI VIMECHANGIA KUFANYA UCHAGUZI KUWA WAZI NA HAKI NA HURU —NEC
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU, AAGIZA KILA OPERESHENI MKUU WA WILAYA APEWE TAARIFA, ASISITIZA UCHAGUZI MKUU WA HURU NA HAKI 2020
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
5 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI:UCHAGUZI MKUU UTAKUWA HURU NA HAKI KWA VYAMA VYOTE, WANAOPANGA KULETA VURUGU SERIKALI IKO MACHO
Akizungumza leo Juni 16,2020 jijini Dodoma wakati akifunga Bunge la 11, Rais Magufuli amesema kuwa uchaguzi huo utakua wa huru na haki kwa kuwa ndio Demokrasia huku akivitaka vyama kutoa nafasi za kugombea kwa wanawake,...
5 years ago
Michuzi28 Feb
Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.
Kabudi ameyasema hayo kwenye hafla ya kukaribisha mwaka mpya ambapo amekariri ahadi ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo aliyoitoa akizihakikishia jumuiya za kimataifa kuhusiana na suala hilo. Akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa jijini Dar es Salaam Kabudi amesema: “Mwaka huu...
9 years ago
Habarileo25 Oct
Shein aahidi uchaguzi huru na wa haki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa uchaguzi unaofanyika leo utakuwa huru, haki na wenye utulivu na kuwahakikishia washirika wa maendeleo, likiwemo Shirika la Misaada la Uingereza (DFID) kuwa Zanzibar itaendelea kuwa na amani kwani ndio msingi wa maendeleo.
5 years ago
CHADEMA Blog9 years ago
StarTV21 Sep
Serikali yasema uchaguzi utakuwa huru na haki
Serikali imesema itahakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unakuwa huru na wa haki ili kuwawezesha Watanzania kuitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wanaowataka.
Makamu wa Rais Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Serikali haitakubali kuona uchaguzi wa mwaka huu unakuwa chanzo cha kuvurugika kwa amani ya nchi hivyo itahakikisha unafanyika kwa amani na utulivu kote nchini.
Makamu wa Rais, Dokta Mohammed Gharib Bilal, amewatoa hofu watanzania katika ibada ya kumweka...
10 years ago
Habarileo27 Jun
Balozi Iddi: Uchaguzi utakuwa huru, haki
MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amewahakikishia wananchi kwamba uchaguzi mkuu utafanyika katika mazingira ya amani na utulivu na kuwataka wazazi kuwadhibiti vijana wao kutojiingiza katika vurugu.
5 years ago
MichuziTANZANIA YAIHAKIKISHIA JUMUIYA YA KIMATAIFA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI
Akihutubia katika Kikao cha 43 cha Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa linaloendelea Geneva nchini Uswisi Waziri wa Mambo ya Nje na...