Tanzania yathibitisha hakuna Ebola
Tanzania imesema hakuna mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na Ebola, baada ya kufanyiwa uchunguzi wagonjwa wawili walio tiliwa shaka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
‘Tanzania hakuna maabara kupima ebola’
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema Tanzania haina maabara yenye uwezo wa kuthibitisha vipimo vya ebola hivi sasa na kwamba inapotokea mtu kudhaniwa kuathiriwa na virusi vya ugonjwa huo, vipimo vyake ni lazima vithibitishwe nje ya nchi.
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Serikali yasema hakuna Ebola Tanzania
Tanzania imesema haina mgonjwa wa Ebola, baada ya kufanyiwa uchunguzi kwa wagonjwa wawili waliotiliwa shaka kuwa na ugonjwa huo.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-48q0AO25HOo/Xm96j856FJI/AAAAAAAC1CM/VXxWvEtD27chqtpHIv14GQjyDiVLU1dTgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200316_150648.jpg)
TANZANIA YATHIBITISHA KUPATA MGONJWA W CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-48q0AO25HOo/Xm96j856FJI/AAAAAAAC1CM/VXxWvEtD27chqtpHIv14GQjyDiVLU1dTgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200316_150648.jpg)
Waziri huyo ameyasema hayo leo Jumatatu Machi 16, 2020, alipokutana na waandishi wa habari katika ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tafiti za Tiba (NIMRI).
Kwa mujibu wa taarifa kwa...
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa wagonjwa 13 wa corona
Waziri wa afya nchini Tanzania, bi. Ummy Mwalimu wagonjwa 12 wa ugonjwa wa corona.
10 years ago
Habarileo16 Aug
Serikali: Msihofu, hakuna ebola nchini
SERIKALI imewataka Watanzania kutokuwa na hofu ya ugonjwa wa ebola kwani wamejipanga ipasavyo na hakuna mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa huo. Imesisitiza hivyo baada ya kuwapo na taarifa zisizo rasmi kwamba ugonjwa huo umeshaingia nchini.
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Serikali yasema hakuna mgonjwa wa ebola
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imekanusha kuwepo kwa ugonjwa wa ebola nchini, huku ikithibitisha kuwa mtu aliyedhaniwa kuwa na ugonjwa huo, anasumbuliwa na malaria.
Pia, wanafamilia wa karibu wa mgonjwa huyo wamechunguzwa na kuonekana hawana dalili za ugonjwa huo au magonjwa jamii ya ebola, kama dengue na chikungunya.
Kauli hiyo ya serikali imetolewa baada ya sampuli ya damu iliyochukuliwa kutoka kwa mgonjwa huyo na kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara, kuonyesha kuwa alikuwa akisumbuliwa na...
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya Corona: Tanzania yathibitisha wagonjwa 29 wapya
Wagonjwa wapya 29 wathibitishwa kuwa na virusi vya corona Tanzania
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Tanzania yathibitisha wagonjwa 19 wa virusi vya corona
Mamlaka za Tanzania zathibitisha wagonjwa wapya watano.
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa na kisa cha kwanza
Waziri wa afya nchini Tanzania Ummy Mwalimu amesema aliingia nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa KIA.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania