Serikali yaweka taratibu za kuzingatia ili kuhakikisha kunakuwa na wamiliki halali wa laini za simu
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Mwanadamu ameumbwa na kuzaliwa akiwa na asili ya kuwa na uwezo na upeo unaomuwezesha kuwasiliana baina ya mtu na mtu kunzia ngazi ya familia, jamii inayomzunguka, taifa na hatimaye ulimwengu mzima.
Akiwa na mamlaka ya kutumia mawasiliano katika maisha yake ya kila siku, mwanadamu anayatumia mawasiliano hayo kama mchakato wa kuhamisha na kupashana taarifa ama habari kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa nyakati tofauti tofauti.
Mchakato huo wa mawasiliano unaweza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Mambo ya kuzingatia ili ndoa iwe halali
NDOA nyingi zimekuwa na migogoro ya mara kwa mara ambayo hupelekea ndoa hizo kutodumu. Tafiti zinaonyesha wanandoa wengi ambao wanaishi katika ndoa zao sio kwa kuwa wanapendana, bali ni kwa...
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Mambo ya kuzingatia ili ndoa iwe halali (2)
(e) Wafunga ndoa wawe wametimiza umri unaokubalika kisheria: Mwanamke na mwanaume wawe wametimiza miaka 18, ili kufunga ndoa. Hata hivyo mwanamke anaweza kuolewa akiwa na umri wa chini ya 18,...
5 years ago
MichuziSERIKALI YAPIGA MARUFUKU MWANANCHI KUMSAJILIA LAINI YA SIMU MTU MWINGINE
5 years ago
CCM BlogSERIKALI: NI KOSA KISHERIA KUSAJILIANA LAINI ZA SIMU, HATA AKIWA MKE AU MUME WAKO
Serikali imepiga marufuku kwa mwananchi yeyote kumsajilia laini ya simu ya mkononi kwa alama ya vidole kwa kutumia kitambulisho cha taifa cha NIDA mtu mwingine kwa kuwa kufanya hivyo ni kosa la kisheria.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye mkoani Iringa wakati akiwa kwenye mikutano ya hadhara kwenye kijiji cha Idodi na Isoliwaya mkoani humo akizindua minara ya mawasiliano kwenye kata ya Idodi, Kihesa na Ihimbo...
10 years ago
MichuziSerikali yawataka Vijana kuzingatia vigezo ili wapate mkopo
10 years ago
MichuziWamiliki, Waombaji leseni za madini watakiwa kufuata Taratibu
11 years ago
Habarileo18 Feb
Zantel yahamasisha usajili wa laini za simu
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel imezindua mpango mahususi wa kuhamasisha wateja kusajili laini zao kwa mujibu wa sheria ya serikali inayozitaka kampuni za simu kufanya usajili wa wateja wao.
10 years ago
MichuziCOASTAL YAIPIGIA HESABU PRISON, YAWEKA MIPANGO YA KUHAKIKISHA POINTI TATU ZINABAKI MKWAKWANI
Timu ya Coastal Union imeanza kuzipigia hesabu pointi tatu muhimu za wapinzani wao Tanzania Prison ili kuweza kuhakikisha wanazichukua wakati watakapokutana kwenye mechi ya Ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo ikielekea lala salama.
Akizungumza leo mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo yanayo endelea kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mjini...