Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamiliki, Waombaji leseni za madini watakiwa kufuata Taratibu

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisaini moja ya leseni za uchimbaji madini kwa wamiliki waliokidhi vigezo vya kuapatiwa leseni. Anayeangalia ni Mwanasheria Wizara ya Nishati na MadinI Phines Sijaona. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akimsikiliza mmoja wa waombaji wa Leseni za uchimbaji madini, Mark Stanely mmiliki wa kampuni ya Bafex Tanzania Limited (Kanda ya Kusini Magharibi) wakati wa kikao cha kusaini leseni za uchimbaji madini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA WAOMBAJI WA LESENI ZA UTAFUTAJI WA MADINI

Kamishna wa Madini anawataarifu wenye maombi ya leseni za utafutaji wa madini yaliyoainishwa kwenye jedwali hapa chini kufanya marekebisho ya maombi yao ndani ya siku thelathini (30) tangu tangazo hili kutolewa. Maombi ambayo yatakuwa hayajarekebishwa ndani ya kipindi kilichotajwa yatakataliwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya mwaka 2010.

 

9 years ago

Michuzi

OMCTP ni neema kwa waombaji leseni za madini nchini

Na Mohamed Saif
Imeelezwa kwamba huduma ya leseni za madini kwa njia ya mtandao itampunguzia gharama na adha za usafiri mmiliki wa leseni za madini kwa kumuwezesha kulipia ada za leseni yake pale alipo.
Hayo yameelezwa hivi karibuni na Afisa Madini Mkazi-Njombe, Samwel Ayubu alipokuwa akifungua mafunzo ya matumizi kuhusu huduma za leseni kwa njia ya mtandao yaani Online Mining Cadastre Portal (OMCTP) kwa wachimbaji wa madini mkoani Njombe.
Ayubu alisema kupitia mfumo wa zamani,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

10 years ago

Habarileo

DC Missenyi aahidi kufuata sheria, taratibu

MKUU mpya wa Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, Fadhir Nkurlu amewaahidi wananchi wa wilaya hiyo na uongozi wa mkoa huo kufanya kazi kwa misingi ya sheria na taratibu za nchi pasipo kumuonea mtu.

 

10 years ago

Habarileo

Ridhiwani ataka wawekezaji kufuata sheria na taratibu

Ridhiwani KikweteWAWEKEZAJI kwenye kijiji cha Changarikwa wametakiwa kufuata taratibu za kisheria ili kuondoa migogoro baina yao na wananchi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yaweka taratibu za kuzingatia ili kuhakikisha kunakuwa na wamiliki halali wa laini za simu

tcra2

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Mwanadamu ameumbwa na kuzaliwa akiwa na asili ya kuwa na uwezo na upeo unaomuwezesha kuwasiliana baina ya mtu na mtu kunzia ngazi ya familia, jamii inayomzunguka, taifa na hatimaye ulimwengu mzima.

Akiwa na mamlaka ya kutumia mawasiliano katika maisha yake ya kila siku, mwanadamu anayatumia mawasiliano hayo kama mchakato wa kuhamisha na kupashana taarifa ama habari kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa nyakati tofauti tofauti.

Mchakato huo wa mawasiliano unaweza...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA Kanda ya Mashariki:Wamiliki wa Radio kufuata Sheria,Kanuni pamoja miongozo

 Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero akisaini (mwenye miwani ) akisaini leseni ya MVIWATA  FM Radio  kulia  ni Mhasibu wa MVIWATA FM Radio Thamas Tembe  na kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Masuala ya Sheria wa TCRA  Vaolet Eseko katika hafla ya kukabidhiana Leseni ya MVIWATA FM Radio.Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero  akimkabidhi leseni ya Radio  Mhasibu wa MVIWATA FM Radio  Thomas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani