Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OMCTP ni neema kwa waombaji leseni za madini nchini

Na Mohamed Saif
Imeelezwa kwamba huduma ya leseni za madini kwa njia ya mtandao itampunguzia gharama na adha za usafiri mmiliki wa leseni za madini kwa kumuwezesha kulipia ada za leseni yake pale alipo.
Hayo yameelezwa hivi karibuni na Afisa Madini Mkazi-Njombe, Samwel Ayubu alipokuwa akifungua mafunzo ya matumizi kuhusu huduma za leseni kwa njia ya mtandao yaani Online Mining Cadastre Portal (OMCTP) kwa wachimbaji wa madini mkoani Njombe.
Ayubu alisema kupitia mfumo wa zamani,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA WAOMBAJI WA LESENI ZA UTAFUTAJI WA MADINI

Kamishna wa Madini anawataarifu wenye maombi ya leseni za utafutaji wa madini yaliyoainishwa kwenye jedwali hapa chini kufanya marekebisho ya maombi yao ndani ya siku thelathini (30) tangu tangazo hili kutolewa. Maombi ambayo yatakuwa hayajarekebishwa ndani ya kipindi kilichotajwa yatakataliwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya mwaka 2010.

 

10 years ago

Michuzi

Wamiliki, Waombaji leseni za madini watakiwa kufuata Taratibu

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisaini moja ya leseni za uchimbaji madini kwa wamiliki waliokidhi vigezo vya kuapatiwa leseni. Anayeangalia ni Mwanasheria Wizara ya Nishati na MadinI Phines Sijaona. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akimsikiliza mmoja wa waombaji wa Leseni za uchimbaji madini, Mark Stanely mmiliki wa kampuni ya Bafex Tanzania Limited (Kanda ya Kusini Magharibi) wakati wa kikao cha kusaini leseni za uchimbaji madini...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)

Wizara ya Nishati na Madini inaendelea na mpango wake wa Mafunzo kwa Wachimbaji Madini Nchini kuhusu matumizi ya Mfumo wa Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP). Pamoja na malengo mengine, Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza agizo la Serikali la kutaka Wizara na taasisi za Serikali ziwe zinapokea malipo ya Serikali kwa njia za kielektroniki. Mafunzo hayo yanatarajiwa kutolewa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima ili kuwajengea uwezo.

 

11 years ago

Habarileo

Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo

SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

 

9 years ago

Mwananchi

Leseni za madini sasa kulipiwa kwa mtandao

Wizara ya Nishati na Madini, imezindua matumizi ya mfumo mpya wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya kielektroniki (OMCTP)

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akisoma hotuba ya uzinduzi wa huduma za leseni kwa njia ya mtandao.Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (katikati) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa huduma za leseni kwa njia ya mtandao. Wa pili kutoka kulia ni Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi Paul Masanja na wa kwanza kushoto mbele ni Kamishna Msaidizi wa Madini- Kitengo cha Leseni, Mhandisi John Nayopa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani