TCRA Kanda ya Mashariki:Wamiliki wa Radio kufuata Sheria,Kanuni pamoja miongozo
![](https://1.bp.blogspot.com/-U7ojQVzi7hc/Xs-Dduoa-SI/AAAAAAALr08/TCUdIPgMuHIqb8gEClZwAnzDJ8_W7cMqgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-28%2Bat%2B11.39.24%2BAM.jpeg)
Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero akisaini (mwenye miwani ) akisaini leseni ya MVIWATA FM Radio kulia ni Mhasibu wa MVIWATA FM Radio Thamas Tembe na kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Masuala ya Sheria wa TCRA Vaolet Eseko katika hafla ya kukabidhiana Leseni ya MVIWATA FM Radio.
Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero akimkabidhi leseni ya Radio Mhasibu wa MVIWATA FM Radio Thomas...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTCRA Kanda ya Mashariki yatoa elimu ya utumiaji mawasiliano Wilayani Ruangwa
Na Chalila Kibuda Globu ya Jamii aliyekuwa wilayani Ruangwa
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki imetoa elimu ya Mawasiliano katika Shule mbili za Sekondari wilayani Ruangwa ili Wanafunzi na walimu wajue namna ya kutumia mawasiliano hayo kwa usalama.
Shule za Sekondari zilizipata elimu ya Mawasiliano wilayani Ruangwa ni Kassim Majaliwa na Likunja
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika Shule hizo Mkuu wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U_ugP0RE2V4/XozDVmkWvpI/AAAAAAALmbQ/7iGNFAGa5jIZWkn8RFafmwTUYM7K0S2xQCLcBGAsYHQ/s72-c/a6a54688-48d6-4e35-8edd-637c0fd94e1b.jpg)
TCRA Kanda ya Mashariki yatoa msaada kwa Kituo Cha Watoto Yatima
![](https://1.bp.blogspot.com/-U_ugP0RE2V4/XozDVmkWvpI/AAAAAAALmbQ/7iGNFAGa5jIZWkn8RFafmwTUYM7K0S2xQCLcBGAsYHQ/s640/a6a54688-48d6-4e35-8edd-637c0fd94e1b.jpg)
Mwakilishi wa Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Vaolet Eseko akimkabidhi msaada kwa niaba ya Mkuu wa Kanda hiyo Mhandisi Lawi Odiero wa Vitakasa Mikono pamoja bidhaa za vyakula Mkurugenzi wa Kituo Cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo Boko Jijini Dar es Salaam.
**********************************
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo...
9 years ago
MichuziVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI
9 years ago
VijimamboVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xviiq3LRwyY/XkWlXmqIl5I/AAAAAAALdUU/ACIDcME5fjk_AfeL6ZcAlofFzEVHhwzqgCLcBGAsYHQ/s72-c/0081bbd4-5769-4261-bae6-deaf7636066b.jpg)
TCRA Kanda ya Mashariki yatoa Elimu ya Utumiaji wa Mawasiliano Katika Vyuo viwili wilayani Nachingwea
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Nachingwea
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki imetoa elimu ya Mawasiliano katika vyuo viwili Wilayani Nachingwea ili kuwapa elimu ya uelewa Wanafunzi na walimu namna ya kutumia mawasiliano hayo kwa usalama.
Vyuo vilivyopata elimu ya Utumiaji wa Mawasiliano ni Chuo cha Uuguzi na Ukunga pamoja na Chuo cha Ualimu.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyuo hivyo Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero amesema kuwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-0Nw7hzIETds/Vg68r_D1Y-I/AAAAAAAD_N8/-pKDh0Yusbc/s72-c/1.jpg)
UCHAGUZI MKUU MAANDALIZI KANDA YA ZIWA YAENDELEA VIZURI, Wasimamizi waaswa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu
![](http://3.bp.blogspot.com/-0Nw7hzIETds/Vg68r_D1Y-I/AAAAAAAD_N8/-pKDh0Yusbc/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-slyTEiBm3Bc/Vg68r0Bya8I/AAAAAAAD_OE/EUQRDciXQq0/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RxGR7XVJ_os/Vg68r4LSkbI/AAAAAAAD_OA/Hwd_l-Iqlfo/s640/3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-de1bJwf0LE0/Vg68sMyCYFI/AAAAAAAD_OQ/JHUZKJYPUvc/s640/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SlJTwZgjf9U/Vg68sYBlD9I/AAAAAAAD_OM/Czdgf5_U9wY/s640/5.jpg)
Imefahamika kwamba maandalizi muhimu ya uchaguzi mkuu kwa mikoa ya kanda ya ziwa yanaendelea...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Sitta atakiwa kufuata kanuni
BAADHI ya wananchi wa Mji wa Dodoma wamemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuhakikisha anaendesha Bunge hilo kwa kufuata kanuni na taratibu zilizopitishwa na wajumbe. Aidha, wamesema...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5wRvyrdzpoU/VAYMHj_cuuI/AAAAAAAGb5Y/-LW7GMrLzSE/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
Wamiliki, Waombaji leseni za madini watakiwa kufuata Taratibu
![](http://2.bp.blogspot.com/-5wRvyrdzpoU/VAYMHj_cuuI/AAAAAAAGb5Y/-LW7GMrLzSE/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-KUfVbYWZygY/VAYMH-q9ICI/AAAAAAAGb5w/PG-6Xu4cAK8/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF