Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka Simba kufanya marekebisho ya katiba yao kwa kuzingatia katiba, kanuni na maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Afrika (CAF) na TFF.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Oct
Maghembe aitaka Bodi ya Dawasa kufuata BRN
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe ameitaka Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) kuhakikisha inafanya kazi kwa matokeo makubwa sasa (BRN).
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Sitta atakiwa kufuata kanuni
BAADHI ya wananchi wa Mji wa Dodoma wamemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuhakikisha anaendesha Bunge hilo kwa kufuata kanuni na taratibu zilizopitishwa na wajumbe. Aidha, wamesema...
9 years ago
Mwananchi03 Sep
MAONI : Ni muhimu wananchi kufuata kanuni za afya
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Basata yahimiza wadau wa sanaa kufuata kanuni
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa msisitizo kwa waandaaji wa matamasha na mashindano ya Sanaa na urembo kuzingatia kanuni na taratibu zilizopo katika kuendesha matukio yao. Msisitizo huo umetolewa...
9 years ago
StarTV11 Sep
NEC yawataka viongozi wa vyama kufuata kanuni za uchaguzi
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NCHINI (NEC), Jaji Damian Lubuva amekemea na kupiga marufuku viongozi wa vyama vya siasa wanaozidisha muda wa kufanya kampeni ndani ya nyumba za Ibada kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo wanakiuka kanuni za uchaguzi wa nchi.
Jaji Lubuva ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, na kuonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya viongozi wa kisiasa watakaokaidi sheria hizo za uchaguzi.
Katika Mkutano wa...
5 years ago
MichuziMGALU AITAKA EWURA KUHARAKISHA UANDAAJI KANUNI KWA WAWEKEZAJI BINAFSI WA UMEME
Hafsa Omar-PwaniNAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) kuharakisha uandaaji wa kanuni ambazo zitatumika kudhibiti bei za umeme ambazo zitatumiwa na wawekezaji binafsi wa umeme nchini.
Ameyasema hayo, Februari 20,2020 wakati alipokuwa akijibu maswali mbalimbali ya wananchi ambao walikuwa wakilalamikia bei kubwa ya umeme wanaotozwa na Mkandarasi wa kampuni ya Husk Power iliyopo katika kijiji cha Matipwili kata Mkange, Wilaya ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U7ojQVzi7hc/Xs-Dduoa-SI/AAAAAAALr08/TCUdIPgMuHIqb8gEClZwAnzDJ8_W7cMqgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-28%2Bat%2B11.39.24%2BAM.jpeg)
TCRA Kanda ya Mashariki:Wamiliki wa Radio kufuata Sheria,Kanuni pamoja miongozo
![](https://1.bp.blogspot.com/-U7ojQVzi7hc/Xs-Dduoa-SI/AAAAAAALr08/TCUdIPgMuHIqb8gEClZwAnzDJ8_W7cMqgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-28%2Bat%2B11.39.24%2BAM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-p0sHLCqC0As/Xs-DsJ02-sI/AAAAAAALr1A/So0br9VAbxs91tDJBUesksjp0_GYfAojgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-28%2Bat%2B11.51.53%2BAM.jpeg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
TFF ya Malinzi yapewa ushauri
WAKATI uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi ukitimiza siku 100 hapo Februari 7 tangu ulipoingia madarakani Oktoba 27, mwaka jana, Mbwana Msumari, ambaye...
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Tamu na chungu ya Malinzi TFF