Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maghembe aitaka Bodi ya Dawasa kufuata BRN

WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe ameitaka Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) kuhakikisha inafanya kazi kwa matokeo makubwa sasa (BRN).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Magembe azindua bodi ya DAWASA, aitaka ichape kazi

Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa kuzindua Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Saalam (DAWASA)jijini Arusha, katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Majisafi na Usafi wa Mazingira jiji la Arusha(AUWSA) Felix Mrema na Katibu Mkuu Wizara ya Maji,Mhandisi Mbogo Mfutakamba. Katibu Mkuu wizara ya Maji, Mhandisi Mbogo Mfutakamba akizungumza wakati wa kuzindua Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Saalam (DAWASA) jijini Arusha.

3

Afisa...

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka Simba kufanya marekebisho ya katiba yao kwa kuzingatia katiba, kanuni na maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Afrika (CAF) na TFF.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGEMBE AZINDUA BODI YA DAWASA ATAKA ICHAPE KAZI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa kuzindua Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Saalam(Dawasa)jijini Arusha,katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Majisafi na Usafi wa Mazingirajiji la Arusha(Auwsa)Felix Mrema na Katibu Mkuu wizara ya Maji,Mhandisi Mbogo Mfutakamba.Katibu Mkuu wizara ya Maji,Mhandisi Mbogo Mfutakamba akizungumza wakati wa kuzindua Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Saalam(Dawasa) jijini Arusha.Afisa Mtendaji Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA WAKURUNGENZI YA DAWASA YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Undeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaama (DAWASA), Bi.Modesta Mushi akiwaneosha Wajumbe wa Bodi ya Wakurungenzi wa mamlaka hiyo ramani ya Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, Agosti 29, 2014 wakati wa ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi, Mhandisi. John Kirecha akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurungenzi ya Mamlaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya ya Wakurugenzi wa DAWASA yatembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda

Modesta Mushi

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.

Mhandishi John Kirecha

Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John Kirecha...

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA wafanya ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundo mbinu ya maji

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Didas Mwilawi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha akisalimiana na Mwenyekiti wa wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA Christine Kilindu alipowasili eneo zinapojengwa ofisi za mradi wa bomba kuu la maji kutoka Ruvu Juu zilizopo Kibaha.Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) wakiwa wameanza ziara yao ya siku moja katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani kukagua na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA wamefanya ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundo mbinu ya maji

01

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Didas Mwilawi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha akisalimiana na Mwenyekiti wa wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA Christine Kilindu alipowasili eneo zinapojengwa ofisi za mradi wa bomba kuu la maji kutoka Ruvu Juu zilizopo Kibaha.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) wamefanya ziara ya siku moja katika mikoa ya Dar es salaam...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya DAWASA yatembele Mirani ya Maji Ruvu chini na Ruvu juu leo

Bodi ya Wakurugeni ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) leo Agosti 20,2014 imefanya ziara ya kutembelea Miradi yao ya Maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini ili kujionea maendeleo ya ukarabati wa Miradi hiyo miwili ambayo ilikuwa katika ukarabati.Katika ziara hiyo Bodi hiyo ya DAWASA imeridhishwa na upanuzi wa Mtambo wa Maji wa Ruvu chini ambao kwa sasa umekamilika kabisa huku ukiwa na uhakika wa kutoa maji ujazo wa Lita Milioni 270 kwa siku.Meneja Miradi wa Kampuni ya Megha...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Anne Kilango aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Cosmas Mwaisobwa (kulia) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majuku ya Bodi kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela leo (Jumatano, Aprili 22, 2015) jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri alifanya ziara ya kikazi katika Bodi hiyo na kukutana na uongozi wa Bodi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela (wa pili kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani