Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Basata yahimiza wadau wa sanaa kufuata kanuni

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa msisitizo kwa waandaaji wa matamasha na mashindano ya Sanaa na urembo kuzingatia kanuni na taratibu zilizopo katika kuendesha matukio yao. Msisitizo huo umetolewa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BASATA LAWATAKA WAANDAAJI WA MASHINDANO/MATUKIO YA SANAA KUZINGATIA KANUNI NA TARATIBU ZAO

Katikamazungumzo maalum na Kituo cha Mlimani TV cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amewasisitiza waandaaji wa matamasha na mashindano ya Sanaa na urembo kuzingatia kanuni na taratibu zilizopo katika kuendesha matukio yao.
Pia,amewataka waandaaji wa mashindano na matamasha katika vitongoji kuwa makini katika kusimamia taratibu kwani ndiyo wanaoandaa washiriki ambao baadaye wanakuja kushiriki kwenye ngazi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wa sanaa, kumbi, watakiwa kujisajili Basata

KAIMU Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungeleza amewataka wasanii na wadau wote wanaojihusisha na shughuli za sanaa kujisajili kwa baraza hilo kupata vibali vya kuendesha...

 

5 years ago

Michuzi

BASATA YAKUTANA NA WADAU WA SANAA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUJENGA MIPANGO YA PAMOJA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kwa upande wa Zanzibar Dkt.Omar Abdalla Adam pamoja na watendaji wake wakutana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw.Godfrey Mngereza.

Lengo ni kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kwa kuweka mipango ya pamoja ya utendaji kazi katika mwaka wa fedha 2020/2021.
Katika kikao hiki  taasisi hizi mbili zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja katika maeneo ya kuwajengea uwezo wasanii na wadau wa sanaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Basata yahimiza matumizi ya vyombo vya muziki

>Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema kuwa kutokana na ukubwa na uzoefu wa kuandaa matamasha ni bora Kampuni ya Msama Promotions imiliki vyombo vya muziki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta atakiwa kufuata kanuni

BAADHI ya wananchi wa Mji wa Dodoma wamemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuhakikisha anaendesha Bunge hilo kwa kufuata kanuni na taratibu zilizopitishwa na wajumbe. Aidha, wamesema...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Ni muhimu wananchi kufuata kanuni za afya

Gazeti hili toleo la Septemba Mosi katika ukurasa wake wa sita, kulikuwa na habari iliyomnukuu Ofisa Afya wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Mathias Kapizo akizungumzia sababu za kujikita kwa ugonjwa wa kipindupindu katika mkoa huu, ambao hadi sasa umewakumba watu zaidi ya 400.

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka Simba kufanya marekebisho ya katiba yao kwa kuzingatia katiba, kanuni na maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Afrika (CAF) na TFF.

 

10 years ago

StarTV

NEC yawataka viongozi wa vyama kufuata kanuni za uchaguzi

 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NCHINI (NEC), Jaji Damian Lubuva amekemea na kupiga marufuku viongozi wa vyama vya siasa wanaozidisha muda wa kufanya kampeni ndani ya nyumba za Ibada kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo wanakiuka kanuni za uchaguzi wa nchi.

 

Jaji Lubuva ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, na kuonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya viongozi wa kisiasa watakaokaidi sheria hizo za uchaguzi.

Katika Mkutano wa...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA Kanda ya Mashariki:Wamiliki wa Radio kufuata Sheria,Kanuni pamoja miongozo

 Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero akisaini (mwenye miwani ) akisaini leseni ya MVIWATA  FM Radio  kulia  ni Mhasibu wa MVIWATA FM Radio Thamas Tembe  na kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Masuala ya Sheria wa TCRA  Vaolet Eseko katika hafla ya kukabidhiana Leseni ya MVIWATA FM Radio.Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero  akimkabidhi leseni ya Radio  Mhasibu wa MVIWATA FM Radio  Thomas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani